Executivesister
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 514
- 595
Pole sana mkuu mi nimekutumia chochote kwa moyo mmoja coz najua uchungu wa kufiwa na mama.Kama umetapeli sawa tuu Muumba anakuona.
Hapo umemaliza. Au aiweke rehani apate hela akitoka kuzika atafute hela ya watu arudisheKimfaacho mtu chake kama umeweza kupost hapa ina maana una simu yenye uwezo,uza hiyo simu mengine yatafuatia
Pole sana mkuu mi nimekutumia chochote kwa moyo mmoja coz najua uchungu wa kufiwa na mama.Kama umetapeli sawa tuu Muumba anakuona.
umekimbilia kufanya kuassume mtoa post ni mtu mzima kwa kuuliza hilo. utajuaje kama yeyee ni mdogo na ni mwanafunz hana uwezo wa kupata naulii? mtoa post ebu jaribu kutoa maelezo ya kutoshelezo maana siku hizi uaminifu ni mdogo na watu hawaaminiani. ila pole kwa kufiwa na mama.duh, kibiti mtwara unakosa nauli, mhh, anyway pole mkuu, kaombe msikitini kwenu hapo kibiti utapewa, waislamu sio wachoyo
Mjini ka maeneo ya konsolataPole sana ndugu allah akupe nguvu kumbuka sote ni wa allah na kwake tutarejea.
pamoja na hayo upo kibiti sehemu gani?.
Ni kweli ndgu ...ila iko hivi niko hapa kibiti kimakaz tu nyumbani ni huko masasi mtwara...ila taarfa ya msiba ni ya ghafla ...nimejitahidi kufanya harakati za kupata hyo nauli ikashindikana ndio maana nikaamua kuomba msaada huku..umekimbilia kufanya kuassume mtoa post ni mtu mzima kwa kuuliza hilo. utajuaje kama yeyee ni mdogo na ni mwanafunz hana uwezo wa kupata naulii? mtoa post ebu jaribu kutoa maelezo ya kutoshelezo maana siku hizi uaminifu ni mdogo na watu hawaaminiani. ila pole kwa kufiwa na mama.