Nimefiwa na mama yangu naomba msaada wenu

Sep 27, 2015
83
15
Habari wanajamii.

Naomba msaada wenu nipate nauli nikahudhurie hitma ya mama yangu.

Niko Kibiti na nahitaji kwenda Mtwara kwenye hiyo hitma.

Mwenye nacho mawasiliano yangu ni 0683708181.
 
Pole sana ndugu allah akupe nguvu kumbuka sote ni wa allah na kwake tutarejea.

pamoja na hayo upo kibiti sehemu gani?.
 
Duuh! Pole Mungu akupe moyo wa subira. Buku buku watu 30 jamaa anafika mtwara kurudi atafanya maarifa.

Potelea mbali msiwaze kutapeliwa.
 
Wewe humu jf watu wanaakili sana usiwe unaombaomba hela humu, wacha kabisa, pole kwa msiba
 
Habar wanajamii..Naomba msaada wenu nipate nauli nikahudhurie hitma ya mama uangu..
Niko kibit na nahtaji kwenda mtwara kwenye hyo hitma..
Mwenye nacho mawasiliano yangu ni
0683708181
Habar wanajamii..Naomba msaada wenu nipate nauli nikahudhurie hitma ya mama uangu..
Niko kibit na nahtaji kwenda mtwara kwenye hyo hitma..
Mwenye nacho mawasiliano yangu ni
0683708181

duh, kibiti mtwara unakosa nauli, mhh, anyway pole mkuu, kaombe msikitini kwenu hapo kibiti utapewa, waislamu sio wachoyo
 
mimi msaada wangu ni POLEEEE SANA MUNGU AKUPE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI
 
Pole kwa kufiwa na mama. Watu wanaogopa matapeli. Labda utueleze tu huko ulipo unaishi na nani? Hakuna marafiki? Hakuna ndugu wengine? Hakuna majirani wanaofahamu kuhusu huo msiba? Au wewe ni mwanafunzi? Funguka tujue hali yako ipo vipi.. nauli sh ngapi kwani?
 
JF mahali ambapo mambo mengi hayaendi kwa uhalisia ila fikra tuu ndio zimejaa uhalisia unaomba nauli kwenda msibani toka Kibiti - Mtwara?
Mie naona kama kuna usanii hapo au ni kweli ila hujui hiki ufanyacho kuwa unaondoa thamani ya tukio lililokutokea.
Nauli haiwezi kuzidi elfu 30 jee hapo Kibiti huna ushirikiano na watu wengine katika uhalisia?
 
Habar wanajamii..Naomba msaada wenu nipate nauli nikahudhurie hitma ya mama uangu..
Niko kibit na nahtaji kwenda mtwara kwenye hyo hitma..
Mwenye nacho mawasiliano yangu ni
0683708181
Pole Sana kwa msiba..


Lakini ukiondoa wanachama wachache hapa ambao ni verified users ..wengi Humu hawajuani..........,misaada ukiomba kwenye kundi lako la whatsapp it make sense .....Tena ikiwa umekosa hata majirani ...
Lakini sidhani jukwaa hili tunaweza kuongelea nauli bora ingekuwa unaongelea kuuguza mgonjwa ....ungeeeleweka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom