Nimefiwa na mama yangu naomba msaada wenu

Nimefiwa na mama yangu naomba msaada wenu

Pole sana ndugu allah akupe nguvu kumbuka sote ni wa allah na kwake tutarejea.

pamoja na hayo upo kibiti sehemu gani?.
Anataka hela wewe unamjaza maneno! Hayo keshayasikia sana tu..Tuma mpunga maneno ya allah baadae...
 
Nyamaza kulia mkuu ndio ukubwa huo hapo kibiti na mtwara ni kama pua na mdomo kabisa....kimbia na baiskeli ya gia uwahi mazishi mkuu....acha kupoteza muda....

Hata kama mapafu yako vizuri unaweza ukaenda kwa mtindo wa malathon style na ukawahi mazishi....
 
Pole kwa msiba! Lkn kwa maelezo yako bi mkubwa keshazikwa, nawe unahitaji kwenda ktk Khitma! Ndugu yangu rejea mafundisho yako ya dini ya Islam dini ya haki! Je khitma ya marehemu ni sahihi? Au ni utamuduni! Uliza wanazuoni
 
Pole kama ni kweli, tatizo ni haya majipu sasa. Maana mh, ila kama ni kweli umefiwa na huna nauli ata majirani wamekupotezea basi Allah ana makusudio yake tu sasa maana hakuna namna.
 
Mmmh Kweli binadamu tumekosa huruma kama kweli huyu kaka kafiwa na mama yake na hizi comment. Kama hutaki kutoa pesa nilazima uandike maneno Ya kejeli hivyo? Mama ni kitu kingine jamani
 
Acha kuomba omba nauli. Kwani hiyo shughili ilipopangwa si ulipewa taarifa mapema? Kipindi chote hicho ulikuwa wapi?
 
pole mkuu,..
ila mtu akisoma2 kabla ya kufika mwisho
anawaza utapeli2 kwani post yako haiko deep,..
we ninani ??
unakaa kibiti gani???
unaumri gani????
kwanini umekosa nauli????
unahitaji kias gani?????
unaishi na nanii????
unaona yanavyoleta logic ktk mind,....
pole mkuu
 
Da pole sana humu hamna marafiki ndugu hawa na marafiki vivuli tu kama wa Facebook
 
Back
Top Bottom