Nimefikisha Mia na mbili hivi...

Sura-ya-Kwanza

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
566
10
Sasa mie expert! Lakini bado si expert sana lakini ninazo mia mbili Uwiii! mia mbili, mia mbili na upuuzi mwingine! hizi nazipenda ninazo kama mia mbili na upuuzi mwingine ...soma!

Waandishi wangu wote wameniacha! lakini nawaambia ninazo mia mbili na upuuzi
 
Eleza habari zenye kueleweka umefikisha mia mbili ni nini hizo
 


Hapa ueleweki kabisa....!
 
kwi kwi kwi mbavu sina.... pole sana Mkuu Sura ya kwanza bado kidogo tu ... 250 posts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…