Nimefikisha Mia na mbili hivi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimefikisha Mia na mbili hivi...

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Sura-ya-Kwanza, Jun 1, 2008.

 1. Sura-ya-Kwanza

  Sura-ya-Kwanza JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2008
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 561
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sasa mie expert! Lakini bado si expert sana lakini ninazo mia mbili Uwiii! mia mbili, mia mbili na upuuzi mwingine!:confused::mad::p:eek: hizi nazipenda ninazo kama mia mbili na upuuzi mwingine ...soma!

  Waandishi wangu wote wameniacha! lakini nawaambia ninazo mia mbili na upuuzi
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Sasa tufanyaje?
   
 3. I

  Ipole JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Eleza habari zenye kueleweka umefikisha mia mbili ni nini hizo
   
 4. Sura-ya-Kwanza

  Sura-ya-Kwanza JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2008
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 561
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Enewei. Vibandiko mia mbili na tatu...:D
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mwaka huu tunahitaji kupimana na .....
   
 6. green29

  green29 JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 35

  Hapa ueleweki kabisa....!
   
 7. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  kwi kwi kwi mbavu sina.... pole sana Mkuu Sura ya kwanza bado kidogo tu ... 250 posts
   
 8. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  jitahidi iwe sura ya pili
   
 9. Sura-ya-Kwanza

  Sura-ya-Kwanza JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2008
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 561
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nenda Kula Breki!!! manake mpaka Kichuguu cha matope! Hallooo!- Yaani wanajibu Kula Brekii!!!:eek:


  Kwani unachotaka kuelewa nini wakati cha kuelewa kimebandikwa hadharani! Mia mbili na upuuzi !

  Tuendelee:p
   
 10. Sura-ya-Kwanza

  Sura-ya-Kwanza JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2008
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 561
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wewe kweli YOYO...tehehehheee

  Soma uelewe uko wapi kabla ya kukurupuka! Matangazo madogo-madogo
  hili tangazo tu! Ebo! Bofya kwa zaidi Kula Breki!!!
   
Loading...