Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Dogo angalia iko siku utakutana na mabasha humu.
Wasiliana na mimi babu ndo namiliki mabebz wote huku.
BTW ungemwambia unapenda kuoa mwanaume. Labda jamaa ni shoga. Ungejilia vyako kilainiiiii....
Shukuru amefunguka mapema kwani amekuepusha mengi,leo ungekuwa unaandika mengine.Nimechezewa kiakili na feelings za mapenzi.
Miezi mitatu iliyopita nilitongoza id moja maarufu ya kike humu MMU na CHITCHAT,kila mtu akaonyesha interests zake kwa mwenzake,sifa alizonitajia nilizipenda.
1.Mnyenyekevu.
2.mvumilivu
3.mwenye heshima
4.mwenye future nzuri
5.kamaliza chuo.
kwa vile alikuwa anaongea polite alinivutia ILS
alikuwa anakwepa kunipa namba ya simu,ila kadiriki kusema ananipenda sana na kunitumia picha zake kadhaa (fake pics).
Nilidata kwa miezi tatu.,Jana kanifungukia kwamba anaona dhambi kunichezea akili na kufunguka kwamba yeye ni mwanaume alikuwa anacheza tu na akili yangu.
Nimefedheheka sana
Bora mm sio mbebz maana kumilikiwa na babu ni janga
Mbona huku JF wengi tu wanatumia ID zisizo za jinsia zao?michael western
Very weakened person . how can he do this? Common people please thamini hisia za watu wengine wanaoleta maada zao hapa. Ooh God. Pole sana kaka yangu. Msamehe na mshukuru mungu kwa yote. Pole sana, sana .
unapumuliwa nyuma mngese wewe
Dogo angalia iko siku utakutana na mabasha humu.
Wasiliana na mimi babu ndo namiliki mabebz wote huku.
BTW ungemwambia unapenda kuoa mwanaume. Labda jamaa ni shoga. Ungejilia vyako kilainiiiii....
Karibu sana JF...
Siku nyingine punguza wenge usije ukaliwa kiboga na ndio uwe mwisho wa heshima ya makalio yako...