incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,490
- 4,134
Wakuu naombeni msaada wa kufanya ili mchepuko usipate mimba nimefanya ile nimemaliza kumbe alikuw kwenye sku ya hatari afu alijisahau hapa geto hakukaliki kuna kilio hatari wakuu naomben msaada wa kufanya mimba isitunge