Nimefanya sex kwenye danger day

We ni boga kiazi mandazi kabisa unafanya ngono zembe maisha haya acha ujinga wewe unawaza na nini kua na akili we jamaa acha kuuza mechi kibuyu wewe
 
Wakuu naombeni msaada wa kufanya ili mchepuko usipate mimba nimefanya ile nimemaliza kumbe alikuw kwenye sku ya hatari afu alijisahau hapa geto hakukaliki kuna kilio hatari wakuu naomben msaada wa kufanya mimba isitunge
Mwache azae kwani utabeba wewe mimba?asihangaike yeye wewe ndio uhangaike?
 
Kabla hajafanya hakulia,kalia alipomaliza halafu mke wa mtu!!!ndiyo maana mvua hazinyeshi!!!
 
Back
Top Bottom