nimefanya kosa kubwa sana najuta

nimefanya kosa kubwa sana najuta

Mkuu Mungu ana angalia moyo,japo dhamira ni kutoa.
 
Mji gani ulozunguka ww ukakosa hela kwenye ATM zote? Haiwezekani!
 
haya mabenki ya hapa nchini sijui yakoje bwana
nilikuwa na mpango wa kumtolea mungu sadaka ya shukrani
nimezunguka atm kibao mjini hola yaani nimetoa sadaka ambayo sio halali kwa sababu ya uzushi wa haya mabenki
yaani matumizi yangu mwenyewe ni vile nina wadhamini sijui ningeenjoy vp ile sikukuu mie
sijui niwashtaki.siwezi kufanya kazi mwaka mzima mwishowe ninyimwe hela yangu
upuuuuuuzi mtupu
utaskia tuna atm sijui 550 nchi nzima
oooh wengine tupo hadi korea kusini
kumbe hawana lolote
kiboko yenu m pesa na tigo pesa na aertel nao wamekuja
mnanikosanisha na mungu wangu mimi.?
je ningekuwa sina wadhamini mimi mwenyewe ingekuwaje? ila tz shida jamani mgao hadi kwenye hela yangu dah

Hiyo hela haramu uloitoa sadaka haina maana mbele za Mungu
 
nimezunguka atm kibao mjini hola yaani nimetoa sadaka ambayo sio halali kwa sababu ya uzushi wa haya mabenki

Pole sana sista,
Mbona husemi, umetoa sadaka gani hiyo mpaka ujutie hivyo?
 
pole mwaya, mi-benki yetu ndivyo ilivyo, inataka wateja wawanyenyekee badala ya wao kunyenyekea wateja
 
ila Azania is the worst
samahanini wahusika
bora tu niseme labda mtajirekebisha
kila kitu is wrong
kuanzia mapokezi hadi huduma zao
jamani!!!
 
Unahongwa na wanaume unaenda kutoa sadaka,unajua kwanini sadaka ya kaini ilikataliwa.? Endelea kuhongwa bibie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom