Nimefanikiwa 'Kuhasi Dume la Bata!'

Nimefanikiwa 'Kuhasi Dume la Bata!'

Kuhasi si kuua nguvu za kiume kama yule jamaa wa arusha kesi ya mauaji ya Msuya
 
Lengo lako ni nini? Na umefanyajefanyaje kufanikisha hilo.

Kabla ya kukulaumu naomba ufafanuzi Wa haya niliyokuuliza.
 
Zoezi lilikuwa 'Gumu kidogo', ila kwa umakini niliokuwanao, zoezi limeisha salama!

Nasubilia majibu ya oparesheni yangu hiyo ambayo itakuwa ya kihistoria kuwahi fanyika.

Nitakuja na Picha pamoja na Video muda mchache ujao!..


Duh una moyo mwenzetu, iweje umehamua kulikata dushe lako....ni mwanamme wa Dar au? Aisee hii kali kweli.
 
Lengo lako ni nini?
Umefanyajefanyaje kufanikisha hilo?

Ulichojibu ni x
 
Back
Top Bottom