1academ
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 2,673
- 4,318
Naomba ushauri wako, niko kwenye mahusiano huu mwaka wa nne na mwaka jana kaja kujitambulisha kwaajili ya ndoa nina mtoto mmoja, nimezaa na mume wa mtu ila huyu mwanaume anayetaka kunioa anajua kuwa mtoto ni wake.
Baada ya kuvalichwa pete na mchumba wangu, ndugu wa huyu Baba wa mtoto wangu walinitafuta. Mama yake akaomba nimp[eleke mtoto kwake, kwakua ni watu wanahudumia nilikubalia na sasa hivi niko kwa kina huyu mwanaume ingawa mwanaueme yeye alikua hajui.
Nilipofika huku nikagundua kuwa ndugu zake hawampendi mke wake na walikua wananijua muda wakiamini ataachana na mke wake na kunioa mimi. Mama yake anaonekana kukasirika kwanini mwanaume ananiruhusu niolewe.
Ndugu zake hawataki niondoke, Mama yake ananiambia nibaki nitaolewa mimi, shia yangu nikuwa, mwamnaume kaambiwa kagoma anasema yeye hanitaki hawezi kumaucha mke wake.
Ameitwa nyumbani ili tuje tuongee lakini hataki, ananiambia nikibaki kwao hata mtoto hatahudumia. Niko njia panda, ukweni wanaonekana kunipenda sana na mimi nampenda huyu Mwanaume.
Mama yake kanihakikishia kuwa atanioa, nawaza je nikubali kubaki au niende kuolewa na mtu wangu. Mama yake amempa mjukuu wake kiwanja anasema hata mwanae akimkataa yeye atanihudumia mimi na mwanangu, nisaidie nifanye nini?