Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

Pole sana mkuu,. Mambo ya kawaida hayo kwa ndoa za siku hizi.

We muongo mkuu. Hii interface si ya whatsapp web bali whatsapp ya kawaida kwenye simu. Hata psychologically hii haiwezi kuwa story yako. By any chance kuwa ni ya kweli basi wewe utakuwa ni third party tu. Hujui kucheatiwa bro- na wala usiombe.
 
Wadau natafuta DEMU wa kuspend naye time awe na miaka isiyopungua 16 na isiyozidi 30.

Kabila lolote na dini yoyote tu,

Matumizi na huduma nyingine zipo za kutosha kuhusu pesa n.k.

Kama itakuwa sex basi tutapima .

Text, call here. 0718754110

Nipo tanga

Ukitext sema jina lako na sehemu ulipo, ila mimi nipo tanga
 
Humapati wa kuweka kwenye kiloba na kutelekeza koko bichi hapa haha
 
Ndio maana nimeamua kukaa mbali na wanawake.....

Naelewa machungu unayopitia mkuu,....

Mambo haya omba tu uwe una hadithiwa......
Ni kweli mkuu coz ni noma na watu siku hizi wamezidi hata wanyama, hakuna nidhamu katika kushughulika na masuala ya mapenzi
 
Wadau natafuta DEMU wa kuspend naye time awe na miaka isiyopungua 16 na isiyozidi 30.

Kabila lolote na dini yoyote tu,

Matumizi na huduma nyingine zipo za kutosha kuhusu pesa n.k.

Kama itakuwa sex basi tutapima .

Text, call here. 0718754110

Nipo tanga

Ukitext sema jina lako na sehemu ulipo, ila mimi nipo tanga
Duh
 
kama ni kweli, nakupa pole, najua utakuwa unapata maumivu makubwa sana lakini unatakiwa kuchukua hatua mbaya kama wewe haujawahi kumsaliti kama wewe ni mtakatifu basi uwe wa kwanza kurusha jiwe, ila kama sio mtakatifu na mmezaa watoto ignore tu, cha muhimu chukua izo msg kamwonyeshe uone atafanya nini afu mwache wala usimdhuru.
Asante
 
Yalalalal dah jamani kuna hii system ya Ku scan code za mtumia WhatsApp ili meseji atakokuwa anapokea zinakuja kwako,

Ni application unaiweka Kwa simu na unaificha sasa nimeweka ya mke wangu kwamba nitakaposafiri nijue kinachoendelea nyuma , jamani kuna mtu nanchukulia kama ndugu wa damu kumbe ndo anamchukua mke wangu na wanapanga mengi nikisafiri,

Mke wangu hajui kama nimeshagundua, wala yule rafiki hajajua, na jumatatu kuna safari ya kikazi muhim mno,

Hapa nawaza sijui nimwambie boss naumwa mke wangu asijue kama nimehairisha ili jumatatu nijifanye nimesafiri ili niwafumanie?

Sijui nimwambie sasa hivi make wangu kwamba nimegundua mchezo huo? Sijui nimwambie boss wangu hali hii nimechanganyikiwa kabisa.

Application hii inaendana na Ile ya kwenye web, lakini hii iko playstore, unaiweka unachukua simu ya unayataka kumdukua, unascan code ,alafu inajiweka kwenye wall yako, ila ukiiacha hapo atagundua, ina option ya kuificha ndani

UPDATED

Nimeshafumania mtu

Mrejesho: Fumanizi lilivyofanyika na nina ya kusema hapa
Dawa ni kujipiga kamba tu...ha haaaa..
 
Uongo wa huyu mleta mada, kama umehack kwa kupitia code za WhatsApp ( lazima uwe na pc ) na screen shot ya pc haiko hivyo, labda useme uliikamata hiyo simu kitu amabacho umekipinga.

Nitakua wa mwisho kuamin, mimi hiyo michezo ya wasp cod nimeifanya sana.

Ila story yako nzuri, apo umekaa na popcorn unaangalia wana jf wanavyotoa povu wakijua ni kweli
 
Sio lazima pc mkuu tumia whatscan unaweka kwenye simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom