Nimedokezwa na jirani kuwa mume wangu anatembea na mdogo wangu. Nianzie wapi?

1. Mkuu kwa hizo siku mbili huwa nahakikisha anatosheka. Na mwenyewe anasema anatosheka sana tena sana na anakiri zaidi ya sana.
2. Mgogoro sina kabisa na huwa najitahidi kumwambia kama namkwaza popote anijuze.
Ila wanaume naona ni waroho sio kwamba hawatosheki. Hali hiyo imekuwa dudu ya nyama ingekuwa ya chuma sijui ingekuwaje!

Mdogo wako ana umri gani na kaja kufanya nini? Kama hana kazi wewe ndio umemuozesha. Huyu mume si wakulaumu sana wadogo watu wanahamasa na visa. Utasikia Shem naomba hela kidogo nikanunue skin tight imeisha. Wakati mwingine huenda unambania sana kumpa mahitaji madogo madogo huku akiomba kwa Shem anapewa. Ukitaka kula cha MTU nawe ni lazima uliwe.
 
hii ndio dawa....
hahahhahhahaaa hii dawa niliitumia week kadhaa zilizopita, kila siku Housegirl anakuja na jipya, Wife nae anamsikiliza HG kila siku ni kesi mara mtoto kafanya vile, mara baba (MIMI) kaniambia nisimtume mtoto, sijui nini mara vile.....yaani unarudi umechoka halafu unakutana na kero kwa kwenda mbele.
Nakumbuka ilikua Jumapili saa tatu usiku nasubiri kipindi cha Mizengwe nikalale, nikaenda room kuchukua simu kufika namkuta Wife hayuko sawa, kaanza kesi tena, kumuuliza anasema sijui HG upuuzi gani huko, mbona niliwakalisha wote. HG kaomba nauli mwenyewe, maana nilimuumbua mbaya! kwenye haya mambo usitake shortcut
 
Back
Top Bottom