Nimedisco, msaada wenu please!

kudiskisha ndio nini? na wewe ni discontinue mtarajiwa


Anajiona naye anajua eti
funza funza tu akili imejaa funza eti wewe ni discontinue mtarajiwa
Nendeni huko na GPA zenu za 2 huko mimi nimegraduate degree wewe upo primary funza wewee
 
Aisee watu wanakejeli tu lakini Kudisco kusikie kwa jirani mkuu...!! Unaweza kata tama ukachukua hata maamuzi ya ajabu snaa maana kupoteza miaka mitatu au miwili chuo afu familia ilijitoa kukusomesha maisha yenyewe haya aisee....
Mungu amsaidie jamaa
 
Anajiona naye anajua eti
funza funza tu akili imejaa funza eti wewe ni discontinue mtarajiwa
Nendeni huko na GPA zenu za 2 huko mimi nimegraduate degree wewe upo primary funza wewee
eti funza wewe...
 
Sio dharau nigga. Ni reality. Nimepita huko mpaka masters. So napafaham vizuri. Nimpa tu quote kuwa maranying dip si yakufel unless ukiendekeza mambo fulani.
ac

ha dharau we mwehu, unajitia mjuaji kumbe hamnazo.
 
Kuna wat wanakejel ila hata hawajui lengo la huu uzi na sidhan kama hata wamesoma uzi wenyewe.. Kama hujui
kuhus Nacte nikwel utaishia kunikejel na kunidharau.

Mim nko hpa kutaka kufahamishwa kama kuna chochote kipya nisichojua juu ya jambo nililozungumzia hpo juu..
 
Mbona huelewek unauliza kuhusu kudisco na GPA ya 2 au umedisco tayari ??
 
Hapo inategemeana na chuo husika kwa mfano SUA wanaangalia GPA ba Credit hours, waweza kua na GPA ya 2 alafu Credit hours zisipofikia 16 kwa mwaka OFF YOU GO.
 
Una supp ngapi. ........kama zimezidi nusu ya masomo ulitakiwa urudie semester sio ku-disco .


Bado GPA inakulinda....

Jaribu kufuatilia mistake huwa ZIPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…