Nimedata kwa binti wa Kinyakyusa

Nimedata kwa binti wa Kinyakyusa

Mweusi wa asili kabisa

Mrefu kiasi

Nyuma kumebinuka kidogo

Sauti nzito flan hivi akiongea Kama anatoka usingizini

Rangi asili asiye tumia mkorogo....

Ohooooo kwakweli Mbeya sihami

Atuwene wangu (Kyala akutule / Mungu akujalie)
Wasichana na Mbeya na Songwe hiyo mikoa hawana uchoyo wa penzi, na wanapenda sana migegedo huwa haiwakinai. Tatizo lao kubwa wanapenda sana pombe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom