Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,716
- 208,979
Sie huyuWewe ndie Yule felister wangu aliyenisingia mtoto au sie
Sie huyuWewe ndie Yule felister wangu aliyenisingia mtoto au sie
Mweusi wa asili kabisa
Mrefu kiasi
Nyuma kumebinuka kidogo
Sauti nzito flan hivi akiongea Kama anatoka usingizini
Rangi asili asiye tumia mkorogo....
Ohooooo kwakweli Mbeya sihami
Atuwene wangu (Kyala akutule / Mungu akujalie)
Hivi sisi wa rukwa tunakwama wapi mbona hatujawahi kusifiwa
PolenHivi sisi wa rukwa tunakwama wapi mbona hatujawahi kusifiwa
Kumbe na wewe mnyakyusa?Mbona sifa kama zangu mkuu?
Yaani ni Mimi kabisa[emoji41]
Sema kasoro sauti, me sina sauti nzito
[emoji23][emoji23][emoji125]
Hivi sisi wa rukwa tunakwama wapi mbona hatujawahi kusifiwa
Sema siku hizi naona Pm zangu hujibu!Hivooo eeh!
Aloooo! Nilikuacha kichakani na naona kabisa bado hujatoka.Sema siku hizi naona Pm zangu hujibu!
Nambiee mama!Aloooo! Nilikuacha kichakani na naona kabisa bado hujatoka.
Toka kwanza sogea barabarani
😂😂🏃
Ufipa land,,Hivi sisi wa rukwa tunakwama wapi mbona hatujawahi kusifiwa
Ni kweli mkuu, ila usipoelewa hayo utaishi nao kwa stress sana yaanSijawahi juta kwa kuoa mbeya. Ila wanawivu na wanapenda kugeng'endana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], nawe umeoa huko?Ni kweli mkuu, ila usipoelewa hayo utaishi nao kwa stress sana yaan
Hapana mkuu natarajia kuoa huko aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787], nawe umeoa huko?