Nimedanganya jinsia yangu

Mkoa gani nauli ni 80?

ALIPOTUMA JINA LILISOMAJE?
 
hahahahaha da mambo mengine yanachekesha kweli....
 
Si umfuate ukampe alichokutumia hizo fedha...maana mpk kujifanya mwanamke ulijiandaa...basi mpelekee anachokitaka fedha si kashatuma mamie..no...unaona sasa mpk mie umeniconfuse...wee mpelekee tu kisera na ukitoka huko unaenda kuishi marekani maana wamepitisha sheria kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…