Nimedanganya jinsia yangu

Hapo mwisho upo sawa kabisa mkuu
 
Viva89 huyu jamaa nilishindwa kumwelewa kwa kweli.Ivi kweli kwa akili tu yakawaida utashindwa kugundua huyu ni mwanaume?? isitoshe laini,namba yangu nimeisajili kwa jina langu la kiume. Dah nipe namba yako viva nikutumie hata elfu kumi(10000)

hahahahaaaa, alijitoa ufahamu...mi napokeaga si chini ya 80000 hahahahaaaa
 
sijui ulifikiria nini mpaka unadanganya hivyo au mwenzetu punga chele
 
Kilicho kuponza ni tamaa tu aiseee.....
 
Rudisha pesa ya mtu, mweleze ukweli afu jitoe kwenye grup hilo, la sivyo ukila hiyo hela, ndo ita kuwa staili yako ya kutafuta hela kudanganya jinsia. Kuwa makini na utakachokiamua tofauti na hapo.
Kingine unamhatarishia maisha huyo binti mrembo(uliyotumia picha yake) na hata wewe pia utakuwa hatarini
 
Hali ilivyo ngumu, wewe nenda bwana. Ukifika akakuona mkaka si ajabu akakupa milioni. Kama umechat nae whatsup, hadi mnatumiana nauli hajaskia sauti yako? Weeh nenda kitaeleweka huko huko
 
Akhsante sana kwa ushauri wako
 
Hali ilivyo ngumu, wewe nenda bwana. Ukifika akakuona mkaka si ajabu akakupa milioni. Kama umechat nae whatsup, hadi mnatumiana nauli hajaskia sauti yako? Weeh nenda kitaeleweka huko huko
Mmmmmmmmmmmn
 
Hali ilivyo ngumu, wewe nenda bwana. Ukifika akakuona mkaka si ajabu akakupa milioni. Kama umechat nae whatsup, hadi mnatumiana nauli hajaskia sauti yako? Weeh nenda kitaeleweka huko huko
Aombee huyo pedeshee asiwe Na akili za Kigogo za kutembea Na vikopo vya rays mfukoni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…