Nimechoshwa na maelekezo yake 6x6

Nimechoshwa na maelekezo yake 6x6

indelible

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
652
Reaction score
301
Wasalaam

Nikianza yangu anaanza kunipa maelekezo utadhani mi mtoto mdogo, utamsikia....no sio hapo, ngoja kidogo ooops, enheee hapo hapo, no subili kidogo no speed ooops no yes endelea sasa mbona unanishangaa!

Unajua nusura nimlapue kibao.

nikashuka zangu nikavaa huyo nikasepa. nikamwacha na u- co driver wake utadhani tuko mashindano ya magari.

Wakuu imeshawakuta hii?
 
Hahahaahhaa yaan umu ukiwa Na stress lazima ucheke tu..asa ka unakosea asiseme jaman?? Raha upate mwenyewe tu..akuuu babu vunja ukimnya ongea na mwenzako ili wote mfike pamoja
sawa utam tupate wote lakini maelekezo yakizidi yanachosha ujue..
 
indelible

Mkuu ilishanikuta hyo,aisee hata kama una ugumu wa miaka lazma hamu ikotuke na mood yote ikatike ila mimi nilifanya hivo hivo baadae akaja akalia sana akasema ana jini sijui ambae anamfanya ajiskie vile ili anikate mood na bla bla bla
 
Last edited by a moderator:
Wetting her needs her attention...
She knows her body better...

Hata kuleta huu uzi hapa ni ushamba wako tu.

Mkuu hujakutana na species za aina hizo,mi naona inakua hawafanyi vile kwa ajili ya her body,anafanya vile ili akukere tu maana hata ukifatisha hayo maelekezo yake ataishia kukuambia sivo tena
 
Wasalaam

Nikianza yangu anaanza kunipa maelekezo utadhani mi mtoto mdogo, utamsikia....no sio hapo, ngoja kidogo ooops, enheee hapo hapo, no subili kidogo no speed ooops no yes endelea sasa mbona unanishangaa!

Unajua nusura nimlapue kibao.

nikashuka zangu nikavaa huyo nikasepa. nikamwacha na u- co driver wake utadhani tuko mashindano ya magari.

Wakuu imeshawakuta hii?

Daaah!! Hukumtendea haki hata kidogo, yeye ndiye anajua muda huo anahitaji nini na kwa speed ipi na ashikwe wapi ili akwee kilele cha utamu kwa urahisi!! Selfish
 
yanii ni raha sana ukimjua mtu ili umvuvule vizuri.....tatzo kila akielekeza hujui...ukaona apa utaumbukaa!!next tym fuata maelekezoo
 
anialike mimi wala sihitaji maelekezo atafurahi mwenyewe
 
Sasa asipokuelekeza, unataka nani ampe anachokipenda kitandani? Shukuru anajua anachokitaka na anakuelekeza, mwingine angemtafuta anaejua kisha kwako akawa anaigiza.
 
Kama utapata Zari la kupewa tena hiyo papuchi fata maelekezo.

Ila inaonyesha we nae sio mtundu hivyo asipokuelekeza atatoka patupu, pia Kabla hamjaanza usikubali game ianze mpaka uhakikishe hajiwezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom