Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,547
- 30,777
Naunga mkono hoja! Sipendi kuyasikia kabisa hayo majina ya mbowe na lissuCHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Ajali zikwapi?CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
hakuna namna labda msiingie humu,hao ndo miamba wa siasa tz kwa sasaNaunga mkono hoja! Sipendi kuyasikia kabisa hayo majina ya mbowe na lissu
Lete hoja zako Sasa tuzijadilCHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Ajali zikwapi?
Ni kweli lakini uchaguzi ukiisha Lisu akishndwa tu uchaguzi hizo mada hazitakuwepo tenaCHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Ni mpaka July mkuu, utuvumilie kidogoCHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
So tufanyeje?View attachment 3202410
RPC Tanga na Mkuu wa Mkoa Batilda, walienda kushuhudia ajali.
Watu 11, wameuwawa na lori jana , Segera Tanga.
Walikuwa wameenda kushuhudia na kuokoa ajali iliyotokea awali.
Kuna kero nyingi za barabarani sasa hivi zinazoua watu wengi.
Na ndio hiki kinawatesa binadamu kwenye kila angle ya maisha yao “kutokujua muda wa kuondoka” Walalamikaji simply ni watu ambao hawajui muda wa kuondoka.A anamuona B kama zuzu, kumbe A ni zuzu aliyekubuhu. Mtu kushindwa kuelewa mda wa kuondoka kwenye jukwaa ni "uzuzu kamili ".
Hujui DuniaCHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
hii ni trend Lissu ndio habari ya mjini kwa sasa ndie anae trend,huwezi kumzuia,ni kama kuuzuia upepo kwa mkono au kuyazuia maji ya mkondo!。CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
Kitaalamu the bad is back. Ubaya ubwela😁Bado zipo sana hata baada ya uchaguzi wataalamu watafanya post mortem
Kama hutaki habari za Lissu Kuna Majukwaa mengi tuu ndani ya Jamiiforums. Habari za Ajali sio jukwaa hili, hizo ni za Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko, ukitaka Mapenzi Kuna MMU, Kuna Jukwaa la Michezo, Mapishi, Elimu, Intelligence, Historia, Kilimo na Masomo and so much more for everyone.CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha.
N.b.
MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.