wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 288
yaani kila kukicha anaamka na kitu kipya cha kudemand ,eti ntaka cimu mpya eti ya zmani haipigi picha vizuri, na kuomba pesa ya ,misuko ya nywele yaani maombi hayo kama wimbo wa taifa nifanyeje jama na hata utamu wake cijauonja
kuwa na msimamo,ajue ukomo wa fedha zako.