Nimechoshwa na demand za huyu kimanzi kpya

Nimechoshwa na demand za huyu kimanzi kpya

Weka namba na picha kuna watu kibao wanaweza mudu hizo demands. Mzee wa kugegeda where a u at??
 
sio size yako huyo...kashakufanya baba yake...piga bunda!!!

usiniambie kuwa we hutoagi hela kusuka yeboyebo,kwenda saluni,michango ya harusi kama si nguo au kununua weaving hata buku tu la kusikia rwende kilioni.
Swala kwa ninia aaombwe?ina maana hatoi hela?
Jamani muwajibike mie nakereka sana yaani
msalimie snowhite
 
Last edited by a moderator:
Weka namba na picha kuna watu kibao wanaweza mudu hizo demands. Mzee wa kugegeda where a u at??

mwambie huyo demands za kitoto tu hizo ambazo mwanaume hata asubiri kuambiwa anatoa jamani nyie vivulana wa chips yai mnakera sana
 
mwambie huyo demands za kitoto tu hizo ambazo mwanaume hata asubiri kuambiwa anatoa jamani nyie vivulana wa chips yai mnakera sana
Utamu anataka lkn ada ya kulipia utamu ndio hana. Tumsaidie vp sasa...
 
Mademu wa Kibongo bwana! Wanapenda sana maisha ya kuungaunga mara leo atakuomba hiki mara kile na si peke yako anawadau kibaooo!huyo ni wa kumpiga chini tu mkuu hafai kabisa huyo!
 
tatizo hapo wala sio ana tabia mbaya,hayo ni mambo ya kawaida tu!km huwezi kumtimizia hayo mahitaji mwache,wapo wanaoweza eti. coz ucpompa ww wapo watakao mpa.....au ndo nyie ukienda kumuapproach adivertisement kibao?coz najua hawezi kukuomba kitu ambacho anajua huna uwezo nacho,unless ......
mi nawashangaa sana wanaume wa kizazi hiki kuombwa simu tu ni kesi eti tuijadili humu jf?
 
yaani kila kukicha anaamka na kitu kipya cha kudemand ,eti ntaka cimu mpya eti ya zmani haipigi picha vizuri, na kuomba pesa ya ,misuko ya nywele yaani maombi hayo kama wimbo wa taifa nifanyeje jama na hata utamu wake cijauonja
ha ha ha ushafanywa kitega uchumi usichoelewa nini sasa?
 
usiniambie kuwa we hutoagi hela kusuka yeboyebo,kwenda saluni,michango ya harusi kama si nguo au kununua weaving hata buku tu la kusikia rwende kilioni.
Swala kwa ninia aaombwe?ina maana hatoi hela?
Jamani muwajibike mie nakereka sana yaani
msalimie snowhite
some of men are so irresponsible
 
endelea kutoa huduma kama unahitaji na kwa uwezo ulionao la waweza jiondoa kesho atataka umjengee nyumba unaweza
 
yaani kila kukicha anaamka na kitu kipya cha kudemand ,eti ntaka cimu mpya eti ya zmani haipigi picha vizuri, na kuomba pe
sa ya ,misuko ya nywele yaani maombi hayo kama wimbo wa taifa nifanyeje jama na hata utamu wake cijauonja

Kuna haja gani ya kudate na mtu ambaye hana msaada kwako!
Kuonja utamu si kipimo cha kumsaidia, wewe angalia uwezo wako, vile unavyoweza kumsaidia basi fanya hivyo, usivyoweza mwambie ukweli kuwa iko nje ya uwezo wako.
 
Akikuta bint kasuka kapendeza anakenua "You look good" nani ame fund hajiulizi. Kuna watu wala hawajui majukumu yao masikini. Kuna kuishiwa mara moja moja bint ataelewa sio wewe January mpaka December huna tu.

umeona eeeh!! halafu kila kukicha wanalia lia kuibiwa wapenz kumbe macare yanawashinda.
 
Lol....kama humpendi mwache tu, au mwambie kuwa huna uwezo na hivyo anavyovitaka.
 
Back
Top Bottom