Nimechoshwa na demand za huyu kimanzi kpya

Nimechoshwa na demand za huyu kimanzi kpya

brian360

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
224
Reaction score
34
Yaani kila kukicha anaamka na kitu kipya cha kudemand ,eti ntaka simu mpya eti ya zamani haipigi picha vizuri, na kuomba pesa ya misuko ya nywele yaani maombi hayo kama wimbo wa taifa.

Nifanyeje jama na hata utamu wake siijauonja.
 
mmmmmmh! ipo siku viatu vitawabana ,halafu mje kuomba ushauri humu. hudumia mgodi usikate tamaa ipo siku utatema mawe
 
Sasa Mkuu si umetafuta mnayeendana
Sidhani kama jambo hili lahitaji ushauri
kama uwezo huna umwambie wazi pia
akikataa unaweza kuachana nae kwa
ustaarabu tu.
 
Sasa Mkuu si umetafuta mnayeendana
Sidhani kama jambo hili lahitaji ushauri
kama uwezo huna umwambie wazi pia
akikataa unaweza kuachana nae kwa
ustaarabu tu.

10nx gret advce
 
sio size yako huyo...kashakufanya baba yake...piga bunda!!!
 
  • Thanks
Reactions: amu
yaani kila kukicha anaamka na kitu kipya cha kudemand ,eti ntaka cimu mpya eti ya zmani haipigi picha vizuri, na kuomba pesa ya ,misuko ya nywele yaani maombi hayo kama wimbo wa taifa nifanyeje jama na hata utamu wake cijauonja

Mwambie umechoka na maombi yake yasiyo na tija, pili aende kwa wazazi wake wamnunulie wewe huna undugu wa hivyo! LOL
 
akikaa vibaya mvizie ummege usepe zako,asha ku alert huyo yuko after money hamna penzi hapo
 
Ndio tatizo la kutongoza huku ukijisifia unaweza kutimiza mahitaji yake,huyo mwanamke anapenda wanaume wenye kutoa vitu kama hivyo kwa hiyo sio mwanamke wa kukufaa wewe ni heri uachane nae mapema kabla mfuko wako haujakaushwa.
 
yaani kila kukicha anaamka na kitu kipya cha kudemand ,eti ntaka cimu mpya eti ya zmani haipigi picha vizuri, na kuomba pesa ya ,misuko ya nywele yaani maombi hayo kama wimbo wa taifa nifanyeje jama na hata utamu wake cijauonja

Mwanamke wako ni MREFU au MFUPI ..............!
 
mkuu ameshakuona we wa Mbuguni,
kama unajiweza ni poa ila kama ndo vile ni mtu wa kujipanga kimaisha
mkuu atakutesa, wachana nae tengeneza maisha.
 
Aaaaah, Hiyo kawaida tu acha Maisha yaendelee mbele hakuna jipya !! Usiwe bakhili mkuu, Lifu za kisasa ni materialListic !!
Nivigumuuu sana kupata utakavyo wewe na ubinafsi wako.... popote na kokote na wowote ni hivyo tu !! endless DEMANDs.....! iishinayo hayo.
 
yaani kila kukicha anaamka na kitu kipya cha kudemand ,eti ntaka cimu mpya eti ya zmani haipigi picha vizuri, na kuomba pesa ya ,misuko ya nywele yaani maombi hayo kama wimbo wa taifa nifanyeje jama na hata utamu wake cijauonja

Hapo nilipobold, angekupa utamu wake ungeweza kumeet demand zake? Tatizo lako hasa ni nini, kunyimwa papuchi au demand zimezidi na ziko nje ya uwezo?
 
Nadhani huyo amekufanya wewe kuwa ni 'Red cross'...

Ingekuwa wewe ndo unaanzisha mada ya kubadilisha simu, nywele n.k...then ungekuwa ni sawa kumtimizia ili aendane na vile upendavyo. Lakini kila wakati analeta mada ya kuanzisha mradi mwingine wa humanitarian...Kha! Kimbiza aisee...

kwani mdada akisuka mwezi huu, twende kilioni, ni lini apaswa kubadilisha nywele zake?
 
Back
Top Bottom