Nimechomeshwa mahindi

Nimechomeshwa mahindi

Kwani hiyo miaka mi3 bila kuonana naye ina mana alikua ndio yuko peke yake?yani hukuwa na wako unayemuonaga?
uaminifu tuliojenga ndo umenifanya nisiangalie wengine....na isitoshe dada ake ndo nishaonana nae ila yeye muhisika ndo sijamuona
 
Nahisi hivyo...kaona too smart kaogopa...

Ila namimi nilijibana mahala ambapo hawezi kuniona ili namm nimchore kwanza..sidhani kama aliniona
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwan si mshatumiana picha umchore nin tena
 
Sky kama ukipita katika hii thread jua huyu babu anatania LOL!
Huyu hapa...
images
 
Ungeazima hata vits tu mkuu.
Alikuchungulia akakuona utamwambukiza umaskini tu.
 
Ohooo pole sana mimi ninamfahamu huyo ndio tabia yake anakuagiza harafu anakaa mahari anakuangalia unafananaje akiona so taip yake anakubwaga hapo
 
Alikuzoom kwa rada akaona hajaridhika nawew that y akukupotezea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom