Nimechomeshwa mahindi

Nimechomeshwa mahindi

Cpati Picha Jinsi Ulivokua Umepiga Pamba Hahahah ,, Hv Unatokea Shinyanga Kijiji Gani Mkuu
 
Habari wakuu,

Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa:-

Kuna binti fulani tulikuwa tunawasiliana through social network na hatujawahi onana live tunaonana tu mitandaoni.

Tumeanzisha mausiano ya urafiki kimtandao takribani miaka kama mitatu(3).
Sasa kilichonitatiza mpaka nikaandika uzi huu.

Tulipanga mimi na binti huyo tuonane baada kutaka kumuona alinitumia text kwamba home kwao tuonane maana mimi binti huyo tunaishi maenoleo ya karibubu kama Kil.3 ya umbali.

Basi baada ya kumaliza mishe zangu nikaenda kwao kufika tu nikamtumia text kwa nimefika atoke nje lakini wapi nikampigia simu hapokei, nikituma meseji hajibu

Mwenzio nilisubiri sana lakini binti hakutokea imeniuma sana mbaya zaidi yeye ndo kunitumia text kwamba niende kwao sasa nashangaa imekuwaje.

Hivi wakuu, nambieni hii ni dharau ama ni uwoga tu wa kuonana?
Ndiyo ukubwa huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom