Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,974
Mi nimemwachia Mungu...Sina uhakika
Mi nimemwachia Mungu...Sina uhakika
Kweli shongwa mechek mpk basiKajionea majanga[emoji23][emoji23][emoji23].. Jichunguze mkuu
usikute saivi yuko na shoga zake wanakunyambua mpaka boxer
SidhaniUsiangaike,inaweza kuwa ulikuwa unawasiliana na wakiume mwenzio,ndio maana imekuwa shida kwake kuonana na wewe.
Hahahahhh kwani na wewe ulishachomeshwa mahindi?Mi nimemwachia Mungu...
Wewe apo ulinichomesha...Hahahahhh kwani na wewe ulishachomeshwa mahindi?
Em usinitafutie cheche na dada yangu sky tafwadhali...lini hiyo?Wewe apo ulinichomesha...
![]()
Kuna siku utakutana na mwanao ama dadaako kwa style hiyo ya utongozajiHabari wakuu,
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa:-
Kuna binti fulani tulikuwa tunawasiliana through social network na hatujawahi onana live tunaonana tu mitandaoni.
Tumeanzisha mausiano ya urafiki kimtandao takribani miaka kama mitatu(3).
Sasa kilichonitatiza mpaka nikaandika uzi huu.
Tulipanga mimi na binti huyo tuonane baada kutaka kumuona alinitumia text kwamba home kwao tuonane maana mimi binti huyo tunaishi maenoleo ya karibubu kama Kil.3 ya umbali.
Basi baada ya kumaliza mishe zangu nikaenda kwao kufika tu nikamtumia text kwa nimefika atoke nje lakini wapi nikampigia simu hapokei, nikituma meseji hajibu
Mwenzio nilisubiri sana lakini binti hakutokea imeniuma sana mbaya zaidi yeye ndo kunitumia text kwamba niende kwao sasa nashangaa imekuwaje.
Hivi wakuu, nambieni hii ni dharau ama ni uwoga tu wa kuonana?
Kwani hiyo miaka mi3 bila kuonana naye ina mana alikua ndio yuko peke yake?yani hukuwa na wako unayemuonaga?mwingine duh...
ths was our first appointment...mengine yangefata baada ya kuonana liveSina Uhakika Kama Kijana Mtu mzima utaitwa nyumban kwa binti kama ndio appointemnt yenu ya kwanza
Sory but nahis your still young bro wewe na huyo Mndee wako endeleen kukua taratbu
Hahahahahaaaa LOLEm usinitafutie cheche na dada yangu sky tafwadhali...lini hiyo?