CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
hamjamboni wanaCC
dah, wakati watu tuko kwenye kampeni ya TOKOMEZA MICHANGO YA HARUSI, SEND OFF NA KITCHEN PARTY mwingine anaibuka kukuomba mchango wa birthday! jaman jaman jaman maisha yenyewe magumu!!
charminglady katika vitu amabvyo huwa vinaniboa ni hivyo! coz harusi yangu sikuchangisha mtu, mishahara yetu ilikuwa enough, harusi ya watu 25, ndugu wa karibu na friends wake 3, na wangu 3. nice venue, chakula kizuri, kunywa mpaka tambaa! sasa leo iweje unichengishe hadi kipaimara!?? vinakeraaaaaaaaaaa, na wananijua kuwa SIPENDI!
Du pole hiyo kali
Na mbaya zaidi ni birthday ya mtoto, huko ni kutafuta mitaji kupitia migongo ya watu
hamjamboni wanaCC
dah, wakati watu tuko kwenye kampeni ya TOKOMEZA MICHANGO YA HARUSI, SEND OFF NA KITCHEN PARTY mwingine anaibuka kukuomba mchango wa birthday! jaman jaman jaman maisha yenyewe magumu!!
kama ni jirani, my dear huna jinsi, mi nimeshachanga mpaka basi, bado michango ya kina mama mwisho wa mwezi mtaani! ili ukipata shida usaidiwe, sikatai sana kwa issue ya jirani coz ndio msaada wa kwanza upatapo matatizo. but kuna watu ofisini, marafiki wa mume, mashoga ndio SIPENDIIIIIIIIIII, utasikia naandaa sanduku la kitchen party nachangisha! pathetic, wananijua SITOI, COZ SIKUFANYA HAYO MAKITU. nonsense!yan nataman nikajifiche cjui wapi. afu ukizingatia ni jiran nyumba ya pili. cwez kukwepa.me b-day yang july watachangaje
https://www.jamiiforums.com
michango siku hizi imezidi na inaudhi kwelikweli, lakini hapo kwenye red King'asti umeniacha hoi.Si bora besdei ya mtoto kuliko ya m'babu ama m'bibi mzima! Kha!
Kuna mchango wa kipaimara na wa kutahiri kijana? (ashakum si matusi)
Charmldy pole na mikwazo, bt sisi wengine wallet zetu hazina misukosuko, na ziko wazi zinatafuta wapi zipeleke aid.
Charmldy pole na mikwazo, bt sisi wengine wallet zetu hazina misukosuko, na ziko wazi zinatafuta wapi zipeleke aid.
charminglady kuna kile kingine mnaita BABY-SHOWER hujapewa kadi ya mchango!?