Nimechoka

Nimechoka

Reyna..Dalili ya mvua ni mawingu!!Hapo kuna uwezekano wa mambo mawili aidha huyo mumeo anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa au ni mkweli..Ingelikuwa ni mimi binafsi nisingemuamini BURE tu...Ingembidi lazima ani´convince kwa umakini zaidi kuhusu mahusiano yake na hao wanawake...Hata nisingekubali kirahisirahisi tu kwamba hao wanawake ni marafiki,kwani hajui kwamba watu wakishakuwa kwenye ndoa lazima wawekeane mipaka kuhusiana na urafiki wa jinsia tofauti...Hapa kuna ulakini..Mchunguze kwa umakini mumeo nina imani hayupo mkweli kwako...
 
Last edited by a moderator:
Hayatuhusu. Haya ni mambo yenu binafsi wewe na huyo mumeo. JF sio mahala pa kuleta mambo yenu!! Peleka kwa wakwe. Ukiona anaendelea, mtose, tafuta bwana mwingine!!

acha ulafa ww usidhani sifa ww yanakuhusu nn had u comment yasiyowahusu wapo busy kutafuta pesa dume zma unashinda na keyboard kuandika ujinga puuh umefuliaa
cc: Heaven on earth watu8
 
Last edited by a moderator:
Reyna..Dalili ya mvua ni mawingu!!Hapo kuna uwezekano wa mambo mawili aidha huyo mumeo anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa au ni mkweli..Ingelikuwa ni mimi binafsi nisingemuamini BURE tu...Ingembidi lazima ani´convince kwa umakini zaidi kuhusu mahusiano yake na hao wanawake...Hata nisingekubali kirahisirahisi tu kwamba hao wanawake ni marafiki,kwani hajui kwamba watu wakishakuwa kwenye ndoa lazima wawekeane mipaka kuhusiana na urafiki wa jinsia tofauti...Hapa kuna ulakini..Mchunguze kwa umakini mumeo nina imani hayupo mkweli kwako...

nimeshamchoka niko mguu nje mguu ndani
 
Last edited by a moderator:
hizo namba uwe unazi_note mahali. .zikijirudia tuuu/.
 
Habari zenu: Tangu niolewe huu ni mwaka wa tatu lakini kuna kitu kinanitatiza huyu mwanaume mara nyingi huwa anapigiwa simu na namba mpya tofauti tofauti nikijaribu kuzipiga wanapokea wadada ukimuuliza anakwambia alikosea namba je hiyo namba yake huwa inakosewa na wadada tuu? Kingine wadada wa ofisini kwao kila siku usiku wanamtakia usiku mwema mara awaalike kwenye mitoko huwa tunaenda nae lakini nahisi huwa wananisanifu kwa nini awe na urafiki na wadada tuu?

Tatizo lako ni kusema umechoka.
 
mmmh pole dada angalia mtoto wako achana na hawa jamaa atakuumiza kichwa chako bure. wengi tumepitia huko na tuko kwenye matatizo hayo kama una mtoto au watoto tafuta namna ya kufurahi na watoto wako.
 
kweli kabisa
 
^^
Simu zetu ni kisu kinachoweza kukuua wakati wowote.
Kama huna kifua cha uvumilivu,usikichezee utakufa kwa presha.
^^

Afu presha za nini hawajui mtu kuoa anakuwa amefanya commitment kubwa???
 
Jitahidi kutokuzifuatilia sana simu na sms za mumeo. cell phones are increasingly becoming a source of matrimonial chaos. Talk to him if you strongly feel offended by his association with female friends. usisubiri ufadhili wa watu wa marekani kuongea na mumeo. pia tafuta jinsi nzurinya kuongea nae sio kejeli na lugha isiyo staha. Tafadhali 'USICHOKE'!
 
kaa ongea nae na umueleze kuwa tabia yake huipendi,
ongea nae taratibu na kwa hekma nadhan kama ni muelewa atakuelewa tu.
 
mh kuna namna hapo hii tabia inaashiria jambo mwanaume wa kuchati na wadada tu si mwema kabisa
 
Reyna..Dalili ya mvua ni mawingu!!Hapo kuna uwezekano wa mambo mawili aidha huyo mumeo anakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa au ni mkweli..Ingelikuwa ni mimi binafsi nisingemuamini BURE tu...Ingembidi lazima ani´convince kwa umakini zaidi kuhusu mahusiano yake na hao wanawake...Hata nisingekubali kirahisirahisi tu kwamba hao wanawake ni marafiki,kwani hajui kwamba watu wakishakuwa kwenye ndoa lazima wawekeane mipaka kuhusiana na urafiki wa jinsia tofauti...Hapa kuna ulakini..Mchunguze kwa umakini mumeo nina imani hayupo mkweli kwako...

kweli bana! mtu ushaoa unaendekeza mazoea na wadada ya nini! huo ukaribu karibu mwishoni awe tempted bureee! reyn uwe unampokonya simu jioni akirudi then unampa asubuhi.
 
Last edited by a moderator:
kuna siku utang'olea kucha, we jiulize upo kituoni polisi wanakukamata
 
Back
Top Bottom