mmmh wanaume wenyewe wanataka kulelewa kakaUmoja ni nguvu hata kama halitaisha litapungua
laki tano ninayo ila sitaki kufanya biashara dear maana kwa sasa nimeajiriwa sina muda .Tafuta laki5 tufanye biashara
hebu nirushie laki ya weekend nione wema wakokwanini uhangaike hivyo kutaka kujua ni muda gani ule huo mlo mmoja ilihali kidume nipo..ebu fanya kuni PM uone neema ya msosi itakavyo kumiminikia.
hata wengine wazee kabisa wanataka michepuko tu hakuna mtu anaetaka serias commitmentWanaolia lia ni vivulana bhana.
Utakula jeuri yako sasamwanaume gani atakulisha mjini mnalia lia hapa mnapigwa mizinga
usiku saa ngapi?Usiku. Maana kuhesabu ceiling nayo SI mchezo. Njaa inauma zaidi pale ukiwa peke yako. ILA mchana unavusha Tu kwa kupiga story
Kumbe uhakika wa mshahara upolaki tano ninayo ila sitaki kufanya biashara dear maana kwa sasa nimeajiriwa sina muda .
ilizimwa na tcraUza smartphone upate mtaji hata wa kuzungusha mbogamboga,hakika hutokula mlo mmoja.
hautoshi mambo mengi dearKumbe uhakika wa mshahara upo
Utapata tuu wa kwako muda muafaka ukifika lkn uache kudiss.hata wengine wazee kabisa wanataka michepuko tu hakuna mtu anaetaka serias commitment
sina roho ngumu.wewe ulimshauri nini yule mdau?Ndio maana umekuwa na roho nyeus siku hiz. Nilikuwa najiuliza mbona siku hiz umebadilika sana kumbe life gumu. Ulinishangaza sana kwa comment zako kweny uzi huu
''Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu
kuliko mume wangu'' ulichocomment kilinishangaza sana. Endelea kuvumilia bado siku mkuu afungulie ajira kweny tareh 13 mambo yatakuwa poa. Karibu kwangu huku hakuna mlo 1 kwa siku
wewe unakula mingapi?
Mi naona bora ule usiku. Ukiamka asubuhi ukinywa chai hata bila kitafunwa mwili unachangamka. Mchana weka kichwa kwenye shughuli zako na ukihisi njaa kunywa maji kwa wingi. Tumbo likijaa maji linapumbazwa kama umeshuba vile. Ukirudi zako home jioni jipikie msosi wa nguvu. Utalala vizuri na kesho unaendelea na ratuba yako. Nimeishi sana hivi huko nyuma. Yote yatapita. We kazana na shughuli za kukuongezea kipato. Afu ukipata hela sio ndo ufanye kufuru au komoa kwenye kula. Iweke hio kua ndo ratiba yako na mwili utazoea tu.kwa wale tunaoishi kwa mlo mmoja kwa siku
ni bora ule mchana au usiku? maana dah inabidi kuchezesha karata vizuri maisha yamebana sana.
ila ipo siku tu tutatoka
we unataka msosi au unataka laki?hebu nirushie laki ya weekend nione wema wako