MUBENDE
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 1,585
- 2,729
Ndio sasa unakazi ya kumbadili pole pole maana kupenda ni upofu 😂 😂Nikitaka cha asubuhi atanambia hana mood😅
Ndio sasa unakazi ya kumbadili pole pole maana kupenda ni upofu 😂 😂Nikitaka cha asubuhi atanambia hana mood😅
Hahahahaa mtani vp?Nakuombea Ila kuna uzi upitie kwanza
Mia mtaniHahahahaa mtani vp?
Nakubaliana na wewe mkuukatika swala Zima la kutafuta Mke inabidi uiacha nature ikuletee.
Demu tafuta ila mke hatafutwi,mke anakuja mwenyewe tu.
Za miaka mtani?Mia mtani
Sio kweliKupata mapenzi ya dhati sawasawa na kudeki bahari
Dini kikwazo wengi hawapendi muislamu😂😂😂we jamaa hujapata tuu hadi leo
Nagongea msumari 🔨📌📌 ya kwamba mke hatafutwi, mke anakuja nwenyewe tu. Tengeneza mazingira, muombe Mungu. Mimi wa kwangu nilikutana naye UDSM umbali wa mita miamoja kati yangu nayeye hapakuwepo mtu tena katika jamii ya watu wengi ulikuwa mwujiza. Kilichokuwa kinaendelea ndani yake ndo kilikuwa kinaendelea ndani yangu na aliponifikia alisimama mwenyewe nikamuomba namba akanipa nikasepa naye kasepa tukaanzia hapo. Sasa tukikumbushiana tulivyokutana ubaki tukicheka 🥰katika swala Zima la kutafuta Mke inabidi uiacha nature ikuletee.
Demu tafuta ila mke hatafutwi,mke anakuja mwenyewe tu.
Kwamba hakuna mwanamke wa dini yako au na wao hawataki muislamu!!?Dini kikwazo wengi hawapendi muislamu
Very happy mtani ulipotelea wapiZa miaka mtani?
Majukumu tu mtani yaliniweka mbali na mitandao ya kijamiiVery happy mtani ulipotelea wapi
God is good mtaniMajukumu tu mtani yaliniweka mbali na mitandao ya kijamii
Forum imebadilika haraka sana mtaniGod is good mtani
Nahitaji ndoaBro una uhakika unataka kuoa au ni hii baridi tu inakutia presha.....
Subiri kipindi cha joto ndo utaona kama kweli akili ya kuoa ipo
Time machine mtani...Forum imebadilika haraka sana mtani
BAK ndiyo hivyo tena hajaonekana tena kwenye forumTime machine mtani...