Nimechoka kuwa single ,nahitaji mpenzi tupendane kwa dhati.

Kwa nn mtu anakuja mtandaon kutafuta mwenza ? Like serious? Unaweza kujenga mahusiano na stranger? Kwamba jamii unayoishi amna mwanamke anayekufaa? Nitakuwa wa mwisho kuamini !

Mtadaoni unaweza kupata kipoozeo tu kama uko safarini lonely unaweza zama tinder, badoo n.k (japo sikushauri), na sio pa kupata life time partner

Sikia mkuu, hapo hapo mtaani unapoishi unaweza jipatia mke mzuri sana mwenye vigezo vyako vyote !

Jichanganye unakoabudu (kanisani/msikitini)
Masokoni
Mtaani n.k !
 
Nahitaji mchumba tupendane kwa dhati, kwa idhini ya Mungu aniite mume nimuite mke

Vigezo vya nimtakae ni hivi.
1 Awe anaishi dar
2 Asiwe na mtoto.
Dini sibagui

Mimi pia naishi dar
Umri wangu 33
Dini yangu muslim.
Mungu akujaalie yaliyo mema uweze kufanikiwa ktk hitaji lako na uijenge familia iliyo bora maishani mwako.
 
Kwa nn mtu anakuja mtandaon kutafuta mwenza ? Like serious? Unaweza kujenga mahusiano na stranger? Kwamba jamii unayoishi amna mwanamke anayekufaa? Nitakuwa wa mwisho kuamini !

Mtadaoni unaweza kupata kipoozeo tu kama uko safarini lonely unaweza zama tinder, badoo n.k (japo sikushauri), na sio pa kupata life time partner

Sikia mkuu, hapo hapo mtaani unapoishi unaweza jipatia mke mzuri sana mwenye vigezo vyako vyote !

Jichanganye unakoabudu (kanisani/msikitini)
Masokoni
Mtaani n.k !
Kwa hii comment yako mkuu natangaza rasmi kua hii thread imefungwa.

Azingatie hii comment.

Case closed.
 
Kwa nn mtu anakuja mtandaon kutafuta mwenza ? Like serious? Unaweza kujenga mahusiano na stranger? Kwamba jamii unayoishi amna mwanamke anayekufaa? Nitakuwa wa mwisho kuamini !

Mtadaoni unaweza kupata kipoozeo tu kama uko safarini lonely unaweza zama tinder, badoo n.k (japo sikushauri), na sio pa kupata life time partner

Sikia mkuu, hapo hapo mtaani unapoishi unaweza jipatia mke mzuri sana mwenye vigezo vyako vyote !

Jichanganye unakoabudu (kanisani/msikitini)
Masokoni
Mtaani n.k !
Wapo hata huku na anaweza kupata the best version.. Tusimkatishe tamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom