Nimechoka kutumia Tecno

Nimechoka kutumia Tecno

achana na michina iyo, tafuta s3 mini au s4 mini hutajutia
 
Mi natumia tecno cx. Tusidanganyike na hizi band ukiondoa iPhone na kulia. Android iwe Samsung au tecno they are almost the same. Hii yangu imetulia sana. Walinichapa Samsung j5 na sasa niko na hii cx

WEWE FUNIKA KIKOMBE MWANAHARAMU APITE
unalinganisha SUZUKI SAMURAI
na RANGE ROVER Vougue
 
Ungekuwa Dar ningekuuzia Microsoft kwa laki na nusu tu! Line mbili original.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom