Nimechoka kutumia Tecno

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,237
Habari za asubuhi,

Naombeni msaada,

Mimi ni Mshamba kiasi flani, tangu nitumie simu /nibadilishe simu nimekuwa nikitumia aina za Tecno, nikianza na P5, nikaja kwa Tecno Phantom min, J7 sasa leo nahitaji kununua sim aina nyingine, sihitaji Tecno, nina laki 350, niko Arusha.

Msaada tafadhali.
 
Habari za asubuhi, Naombeni msaada, mimi ni Mshamba kiasi flan, tangu nitumie sim /nibadilishe sim nimekuwa nikitumia Aina za Tecno, nikianza na P5,nikaja kwa Tecno Phantom min, J7 sasa leo nahitaji kununua sim Aina nyingine, sihitaji Tecno, nina 350 Lack, niko Arusha. Msaada tafadhari.
nichek inbox
 
Habari za asubuhi,

Naombeni msaada,

Mimi ni Mshamba kiasi flani, tangu nitumie simu /nibadilishe simu nimekuwa nikitumia aina za Tecno, nikianza na P5, nikaja kwa Tecno Phantom min, J7 sasa leo nahitaji kununua sim aina nyingine, sihitaji Tecno, nina laki 350, niko Arusha.

Msaada tafadhali.
ungekuwa Dar kesho ningekupeleka Dukani, ila Arusha!!
 
Mi natumia tecno cx. Tusidanganyike na hizi band ukiondoa iPhone na kulia. Android iwe Samsung au tecno they are almost the same. Hii yangu imetulia sana. Walinichapa Samsung j5 na sasa niko na hii cx
 
Habari za asubuhi,

Naombeni msaada,

Mimi ni Mshamba kiasi flani, tangu nitumie simu /nibadilishe simu nimekuwa nikitumia aina za Tecno, nikianza na P5, nikaja kwa Tecno Phantom min, J7 sasa leo nahitaji kununua sim aina nyingine, sihitaji Tecno, nina laki 350, niko Arusha.

Msaada tafadhali.
Mkuu nunua samsung Grand Prime. ni simu bomba kabisa hautojutia. bei yake ni 290,000 au 270 kama sikosei.. hutojutia mkuu
 
Habari za asubuhi,

Naombeni msaada,

Mimi ni Mshamba kiasi flani, tangu nitumie simu /nibadilishe simu nimekuwa nikitumia aina za Tecno, nikianza na P5, nikaja kwa Tecno Phantom min, J7 sasa leo nahitaji kununua sim aina nyingine, sihitaji Tecno, nina laki 350, niko Arusha.

Msaada tafadhali.
Ingia jumia uagize utaletewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom