Mkuu sio mzembe sijui tu inakuwaje najikuta tu simu ishapotea hata nidhamilie kuwa sasa basi. Msaada pleaseDah wewe noma.
Tafuta tuu kamba au vile vidude vya wabibi wanavyofunga shingoni unaifunga maisha yanasonga.
Ila Chunga usije ukapoteza na mke/mpenzi maana unaonekana mzembe and careless.
Unapoteza simu ukiwa ktk hali gani? Ukiwa umelewa au?Wakuu habari yenu?.
Mi ni mdau mkubwa wa kupoteza simu yaani nimekuwa na tatizo hili mara kwa mara na ndani ya wiki mbili nimepoteza simu 3. Kiukweli hali hii inaniuma sana na inaathiri uchumi wangu hata kama simu ni za laki 2 lakini zinaniuma sana.
Hivyo naombeni mbinu au applications ambazo naweza kuzitumia ku-track simu zikipotea.
Pia kama kuna mtu anaweza nisaidia kuzipata simu zangu zilozopotea ntashukuru sana
Swali zuri hili,ajibu kwanza hiliUnapoteza simu ukiwa ktk hali gani? Ukiwa umelewa au?
Tuanzie hapo kwanza