Thanks bro,iyo Ndoto imekuwa inanirudia nilikuwa Kila siku natamani kuleta umu jamii forum ila nahailisha nikaona Leo niwashilikishe,ila kiukweli mi ni mtu mwenye IQ kubwa tangu utotoni na mtu nayependa kujifunza muda wote na Ni introvert mambo yangu Hadi kufikia kumaliza elimu ya secondary yalikuwa poa sana ila mambo yalianza kuwa magumu sana baada ya kufika chuo na kuanza ulevi na kula Malaya na mademu WA mitaani na kuwagawia pesa zangu,nahisi Nina mikosi niliyoipatia uko maana tangu nimalize chuo nimekuwa na gundu zaidi yaani nishaaply kazi zaidi ya mara 100 ila nishapata 1 tu nayo haikudumu,na sa hivi napitia kipindi Cha ujobless ni kama nime stack tu