mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,629
- 18,626
nyingine inayonitesa ni kuota nipo darasani , haswa msingi , o level na advanced. Chuo mara chache . Huwa zinanipa huzuni sana hizi ndotoSame to me
nyingine inayonitesa ni kuota nipo darasani , haswa msingi , o level na advanced. Chuo mara chache . Huwa zinanipa huzuni sana hizi ndotoSame to me
Shida watu wengi hawajui karama walizo nazoNdoto nzuri sana.
Ungejua usingeandika ( nimechoka)
Tayari jamaa anachezea vibuyu bila kujuammh! kampoteza
Utopolo huuNdoto kama hiyo mwenzio ujue hapo kampokea Yesu,
Kupaa huko ni Mungu anamuonesha jinsi gani ambavyo Neno la Mungu (Kumjua Mungu) limemsaidia kukwepa vikwazo na matatizo katika maisha.
Tafuta Nuru huwezi kuota ndoto za ajabu lala ukiwa umewasha taa usilale na Giza, Giza ni njia ya waovu usipende kukaa gizani gizani lazima uote mandoto ya ajabu ajabunyingine inayonitesa ni kuota nipo darasani , haswa msingi , o level na advanced. Chuo mara chache . Huwa zinanipa huzuni sana hizi ndoto
Mmmh!!? Bas mm huwa nikipaa siwezi kanyaga chini had nishike sehemu nilazimishe miguu kutua chini. Na kanisan naweza enda x2 kwa mwaka ila ndoto za kuota Nina ubiri mara naombea watu huwa zinakuja mara kwa maraNdoto kama hiyo mwenzio ujue hapo kampokea Yesu,
Kupaa huko ni Mungu anamuonesha jinsi gani ambavyo Neno la Mungu (Kumjua Mungu) limemsaidia kukwepa vikwazo na matatizo katika maisha.
SuccessfulNimechoka Kuota Napaa Usiku...
Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi
Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana
Iyo Ndoto inamaanisha Nini kwa wajuzi WA mambo ya Ndoto?
AahahahahaInamaanisha unatakiwa ukakutane na uongozo wa Air Tanzania au precision Air mpangiane ratiba za kupaa ili msije kugongana hewani
Unaweza kuwa sahihi mkuu,Ni ndoto za ushindi fanya tu meditation/ tajahudi fokasi kwenye mishe zako utafanikiwa, jaribu vitu vigumu na hatari utatoboa. Usikae sana na watu bila ishu ya maana, usitoe pesa kwa wanawake wa mtaani.
Fanya mambo yote yenye msingi unayoogopa kama kukutana na matajiri, kuomba tenda, kujilipua na zaidi ya hayo. Ukitumia kilevi hakikisha hulewi chakari itaharibu kumbukumbu zako. Kama huna gari nunua mapema sana. Nyumba yako iwe na uzio kama ni chumba basi kiwe self contained.
Siku nyingine usilale kifudi fudi ukapanua miguu ,ukilala funga miguuNimechoka Kuota Napaa Usiku...
Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi
Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana
Iyo Ndoto inamaanisha Nini kwa wajuzi WA mambo ya Ndoto?
Hiyo ndio Hand brake ya kupaa?Siku nyingine usilale kifudi fudi ukapanua miguu ,ukilala funga miguu
Ni ndoto za ushindi fanya tu meditation/ tajahudi fokasi kwenye mishe zako utafanikiwa, jaribu vitu vigumu na hatari utatoboa. Usikae sana na watu bila ishu ya maana, usitoe pesa kwa wanawake wa mtaani.
Fanya mambo yote yenye msingi unayoogopa kama kukutana na matajiri, kuomba tenda, kujilipua na zaidi ya hayo. Ukitumia kilevi hakikisha hulewi chakari itaharibu kumbukumbu zako. Kama huna gari nunua mapema sana. Nyumba yako iwe na uzio kama ni chumba basi kiwe self contained.
Boss upo vizuri Kuna vitu umevitaja nimevi experience kwenye maisha yangu mi ni introvert na creative sana na nilikuwa na uwezo sana darasani aswa primary na Olevel kwa kifupi IQ yangu iko vizuri tatizo limeanzia nilipoanza kula Malaya na kunywa pombe Hadi kupitiliza Kuna muda napoteza kumbukumbu,pia ninapitia kipindi kigumu nimeapply sana kazi tangu graduation 2021 mpaka Sasa ila siitwi interview na saa ingine naitwa muda ukiwa umeenda,ila iyo Ndoto imekuwa ikijirudiaNi ndoto za ushindi fanya tu meditation/ tajahudi fokasi kwenye mishe zako utafanikiwa, jaribu vitu vigumu na hatari utatoboa. Usikae sana na watu bila ishu ya maana, usitoe pesa kwa wanawake wa mtaani.