Nimechoka Kuota Napaa Usiku

Nimechoka Kuota Napaa Usiku

Nimechoka Kuota Napaa Usiku...

Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi

Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana

Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?

Jaribu kupaa hadharani
 
Wewe una fikra pana sana mkuu sio kila ndoto ni MUNGU anakuotesha
Ni Kweli,

Ndoto ya Kupaa Ina tafsiri mara mbili,

Nzuri na mbaya.

Kufurahia Kupaa na kukwepa maadui ktk ndoto ni Ishara nzuri. Bt ukiota unapaa na ukaamka na HOFU ni Ishara mbaya kuwa Kupaa huko Si ktk Wema.

Bt tusisahau pia mtu ni ROHO anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI,

Tulalapo, Roho zetu Zina uwezo Kutoka ndani ya miili zikaenda mahala na Mahali na kurudi tena.

Ndicho chanzo Cha kujiona unapaa.

Mtu ni Spirit, tusisahau Hilo.
 
Nini sasa kwani nimesema UONGO jamaa tunataka member mpya wa JF au tukubebe mabango

Member atapatikana tyuuuu ila sio kwa yule

Kipo chuma humu kimetulia kinasoma tu kimetulia, huyo ndio tutafanya kweli tumlete member wa baadae wa jf
 
Mmmh!!? Bas mm huwa nikipaa siwezi kanyaga chini had nishike sehemu nilazimishe miguu kutua chini. Na kanisan naweza enda x2 kwa mwaka ila ndoto za kuota Nina ubiri mara naombea watu huwa zinakuja mara kwa mara
Wewe ni mwana mpotevu, acha kula makombo ya nguruwe,

Rudi Kwa babako mfalme umtumikie kuhubiri INJILI.
 
Nimechoka Kuota Napaa Usiku...

Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi

Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana

Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?
I always have similar dreams, nyngne ni kuota nipo shule, sometimes nipo na students niliowahi soma não ktk mazngr tofauti tofauti
 
nyingine inayonitesa ni kuota nipo darasani , haswa msingi , o level na advanced. Chuo mara chache . Huwa zinanipa huzuni sana hizi ndoto
Duh mbn upo km mm aisee, mbn inatisha hii hali au ndio ndoto za vijana
 
HONGERA SANA MKUU... UNA KINGA KUBWA SANA MWILINI MWAKO....

MAANA YAKE HAPO KILA WACHAWI/MAJINAMIZI WAKIJA WANAKUTA HAUPO
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝

NDOTO ZA WACHACHE HIZO HASA WALE WALIO ZINDIKWA.
 
Nimechoka Kuota Napaa Usiku...

Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi

Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana

Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?
ANKO WANGA WANACHEZA NA WEWE MBAYAA, KATUBU AU UOMBE MSAMAHAA ALIEKUKOSEA, KAMA ULIIBA RUDISHA!
 
B

Boss upo vizuri Kuna vitu umevitaja nimevi experience kwenye maisha yangu mi ni introvert na creative sana na nilikuwa na uwezo sana darasani aswa primary na Olevel kwa kifupi IQ yangu iko vizuri tatizo limeanzia nilipoanza kula Malaya na kunywa pombe Hadi kupitiliza Kuna muda napoteza kumbukumbu,pia ninapitia kipindi kigumu nimeapply sana kazi tangu graduation 2021 mpaka Sasa ila siitwi interview na saa ingine naitwa muda ukiwa umeenda,ila iyo Ndoto imekuwa ikijirudia
Oyá ishu yko ya kuwa introvert tunafanana, IQ tunafanana, kuwa creative, kupenda mbususu tunafanana, mixer na hyo ndoto ya kupaa pia ipo the same, aisee kuna jambo sio kawaida hii embu tujitathmini
 
Duh mbn upo km mm aisee, mbn inatisha hii hali au ndio ndoto za vijana
Kama vijana mnaacha mashamba ya wazazi vijijini, mnakimbilia BETTING lazima uote uko darasani.

Yaani maarifa Yako ni madogo Yako chini, hayawezi kukufikisha pale Mungu alipotaka ufike ulipozaliwa.

Kama una umri wa 30 yrs na above uko home na hutaki Kutoa unaogopa maisha lazima uote ndoto ya kuwa darasani tena shule ya msingi.

Maarifa Yako yanapokuwa chini ya uhalisia wa mtu wa ndotoni, hawasomani lazima ukwame.

Mtu halisi, yupo katika ndoto aotazo.
 
Nimechoka Kuota Napaa Usiku...

Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi

Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana

Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?
Binafsi hii ndo ndoto pekee hua naikubali pindi niotapo, wanyama wakali hua nawaacha kwenye ma taa hata wengine kuwaadhibu nitakavyo
 
Ndoto kama hiyo mwenzio ujue hapo kampokea Yesu,

Kupaa huko ni Mungu anamuonesha jinsi gani ambavyo Neno la Mungu (Kumjua Mungu) limemsaidia kukwepa vikwazo na matatizo katika maisha.
Mimi simuamini huyo jamaa mnayemuita Yesu ila tokea nijitambue utotoni, Kila napoota lazima nipae
 
HONGERA SANA MKUU... UNA KINGA KUBWA SANA MWILINI MWAKO....

MAANA YAKE HAPO KILA WACHAWI/MAJINAMIZI WAKIJA WANAKUTA HAUPO
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝

NDOTO ZA WACHACHE HIZO HASA WALE WALIO ZINDIKWA.
Kuzindikwa ndo uchawi wenyewe, pipa na mfuniko.

Ni sawa kusema vibaka wanakuogopa sababu mjombaako ni jambazi Sugu.

Ulinzi huo ni wa mtoa mada ni Kutoka Kwa MUNGU. Kila mtu Huwa ana Malaika wake tangu Kuzaliwa, na kama Mungu ana makusudi na mtu Kwa mission Fulani mbeleni, Ulinzi huongezwa.
 
Back
Top Bottom