Nimechoka Kuota Napaa Usiku

Nimechoka Kuota Napaa Usiku

Kuna kipindi nimefululiza sana kuota ndoto za kupaa..ila kuna raha yake, ww sijui umechoshwa na nini?
Ukiota unapaa ni ishara ya mafanikio kila wakati kwenye maisha adui kila akitaka kufanya jambo lake unapotea unalindwa sana na MUNGU Sasa kama umechoka mafanikio sawa
 
Back
Top Bottom