Nimechoka Kuota Napaa Usiku

Nimechoka Kuota Napaa Usiku

Wewe ni mwana mpotevu, acha kula makombo ya nguruwe,

Rudi Kwa babako mfalme umtumikie kuhubiri INJILI.
may be your a chosen one
Aisee!? Huo ni mtiani Sasa. Kwa hali yangu kithembe, sina sauti kubwa, nachukia haraka, sipendi kukaa kwenye kundi kubwa LA watu na sio muongeaji wala mcheshi. Labda kama ina maana nyingne
 
Kama vijana mnaacha mashamba ya wazazi vijijini, mnakimbilia BETTING lazima uote uko darasani.

Yaani maarifa Yako ni madogo Yako chini, hayawezi kukufikisha pale Mungu alipotaka ufike ulipozaliwa.

Kama una umri wa 30 yrs na above uko home na hutaki Kutoa unaogopa maisha lazima uote ndoto ya kuwa darasani tena shule ya msingi.

Maarifa Yako yanapokuwa chini ya uhalisia wa mtu wa ndotoni, hawasomani lazima ukwame.

Mtu halisi, yupo katika ndoto aotazo.
Sijawahi kubeti ht mara moja alafu mm sio mpnz wa mpira kbs wala michezo ya kubeti ,

kila ninaekutana nae ananiambia i have something big inside of me, sometimes huwa nachukulia simple ila kuna muda nikikaa natafakari sn naona ni kweli ni vile nakosa fursa ya kuonesha upekee nilio nao, mara nying huwa najihc nipo tofauti na kila mtu ninae mjua na ht nisiemjua in a powerful way haijalishi awe na pesa kushinda mm km Elon musk au lah,....

Nakumbuka niliwahi kutana na nabii mmoja akaniambia ishu iliyokua ni ya kweli kwamba natongozwa na waschana yule nabii aliniambia nikae na hão viumbe mbali
nisijishughulishe não.

ukiangalia mm sio mpnz wa pombe,f ujo, kelele nk ila ni mpnz wa jinsia ya pili KE kwa sn ...
 
Hapana ukilala kifudi fudi ukaachia miguu na mikono mwili unakuwa free kupitiliza(hapa kuna wanaoshikwa na jinamizi).
Kiimani ni kuwa ukionanunaota unapaa ujue kuna watu wanakuguatilia kukukamata ila malaika wako wanakupeperusha usikamatwe
Zamani hiyo ndoto ilinisumbua sana kipindi nalala peke yangu ila kwa sasa nina mwenzangu imekata yenyewe
Haya ni mambo ya kufikirika tu,hata hiyo jinamizi uliyoitaja ni mambo yakufikirika tu.
 
Nimechoka Kuota Napaa Usiku...

Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi

Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana

Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?
Lisu ameharibu sana Vijana,hii Nchi khaa 🤣🤣
 
Sijawahi kubeti ht mara moja alafu mm sio mpnz wa mpira kbs wala michezo ya kubeti ,

kila ninaekutana nae ananiambia i have something big inside of me, sometimes huwa nachukulia simple ila kuna muda nikikaa natafakari sn naona ni kweli ni vile nakosa fursa ya kuonesha upekee nilio nao, mara nying huwa najihc nipo tofauti na kila mtu ninae mjua na ht nisiemjua in a powerful way haijalishi awe na pesa kushinda mm km Elon musk au lah,....

Nakumbuka niliwahi kutana na nabii mmoja akaniambia ishu iliyokua ni ya kweli kwamba natongozwa na waschana yule nabii aliniambia nikae na hão viumbe mbali
nisijishughulishe não.

ukiangalia mm sio mpnz wa pombe,f ujo, kelele nk ila ni mpnz wa jinsia ya pili KE kwa sn ...
Kwani hukusoma kuwa kahaba ni shimo refu lisilo na UKOMO?

Kuna LAANA mbaya kama UZINZI?

Mpe Yesu maisha Yako, acha dhambi na UOVU, omba bila kuchoka, utaona mabadiliko ya ndoto za darasani, na KIMWILI Uchumi utakuwa sawa.
 
Nimechoka Kuota Napaa Usiku...

Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi

Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana

Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?
Mkuu ngoja nikwambie maana ya ndoto yako hii najua utanikumbuka siku.kwanza kitendo cha ndoto kujirudia hii inakukumbusha kitu yani ufanye. Neno kupaa inaonekana wewe ni wajuu.inaonekana wewe kuna jambo utafanya na wakati huohuo wengine watashindwa kufanya jambo hilo.mkuu wewe ni wajuu na ndoto kujirudia kila Mara nikwamba unakumbushwa uanze action
 
Fikilia ni jambo gani unatamani kulifanya lkn bado hajachukua hatua? BC kama una jambo hilo BC Fanya sasa unakumbushwa
 
Kuzindikwa ndo uchawi wenyewe, pipa na mfuniko.

Ni sawa kusema vibaka wanakuogopa sababu mjombaako ni jambazi Sugu.

Ulinzi huo ni wa mtoa mada ni Kutoka Kwa MUNGU. Kila mtu Huwa ana Malaika wake tangu Kuzaliwa, na kama Mungu ana makusudi na mtu Kwa mission Fulani mbeleni, Ulinzi huongezwa.
Sijazungumzia kuzindikkwa na WACHAWI mkuu.. Hata uki sali/swali pia ni zindiko. 🤝
 
Kwani hukusoma kuwa kahaba ni shimo refu lisilo na UKOMO?

Kuna LAANA mbaya kama UZINZI?

Mpe Yesu maisha Yako, acha dhambi na UOVU, omba bila kuchoka, utaona mabadiliko ya ndoto za darasani, na KIMWILI Uchumi utakuwa sawa.
Mkuu sioti nikiwa darasani nafundshwa ila naota nipo either mazngira ya kishule au nikiwa na watu ambão nimewahi soma não mahali fulani,
 
Ila tuache masihara kuota unapaa kuna raha yake hadi akitokea mtu akakuamsha unasikitika.
Unakuta kuna muda unakwenda spidi na kufanya manjonjo kama ndege vita, raha nyingine kuna vitu unafanya kwa kufikiria tu kinafanyika.
 
Mkuu ngoja nikwambie maana ya ndoto yako hii najua utanikumbuka siku.kwanza kitendo cha ndoto kujirudia hii inakukumbusha kitu yani ufanye. Neno kupaa inaonekana wewe ni wajuu.inaonekana wewe kuna jambo utafanya na wakati huohuo wengine watashindwa kufanya jambo hilo.mkuu wewe ni wajuu na ndoto kujirudia kila Mara nikwamba unakumbushwa uanze action
Thanks bro,iyo Ndoto imekuwa inanirudia nilikuwa Kila siku natamani kuleta umu jamii forum ila nahailisha nikaona Leo niwashilikishe,ila kiukweli mi ni mtu mwenye IQ kubwa tangu utotoni na mtu nayependa kujifunza muda wote na Ni introvert mambo yangu Hadi kufikia kumaliza elimu ya secondary yalikuwa poa sana ila mambo yalianza kuwa magumu sana baada ya kufika chuo na kuanza ulevi na kula Malaya na mademu WA mitaani na kuwagawia pesa zangu,nahisi Nina mikosi niliyoipatia uko maana tangu nimalize chuo nimekuwa na gundu zaidi yaani nishaaply kazi zaidi ya mara 100 ila nishapata 1 tu nayo haikudumu,na sa hivi napitia kipindi Cha ujobless ni kama nime stack tu
 
Nimechoka Kuota Napaa Usiku...

Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi

Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana

Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?
Kapime Malaria
 
Back
Top Bottom