Nimechoka kuombwa hela

Posho yote inaisha!! Wanaume aliye waroga ashakufa! Poleni
ungetumia neno baadhi ya wanaume ingekuwa poa si vyema kutumia kauli za ujumla, ndiyo maana hata yanayofanywa na akina amber lulu yanabaki kuwa yao na si ya wanawake wote.
 
Hapa mjini kila kitu pesa mkuu we lipa tu or uwe tayar kuachishwa kazi
 
Ulivyoshobokewa ukajua unapendwa mwenyeweeee! tuma tu pesa hakuna namna
 
Siyo wote, mimi bora nikuchangie damu siyo pesa yangu niliyotolea jasho, zaidi tutaitumia kwenye starehe siyo nikupe pesa ya pango!
Duh! Humpi pesa ya pango unataka alale vichakani?
 
Inawezekana hana shida na hela yake.....ni mtihani tu kijana anapitia
 
Toa pesa uliyonayo acha maneno,kwani alipokuomba alikutajia kiwango?
 
Dah wengine mna bahati sana. Mimi huu mwaka wa tatu hamna demu wa kaniomba hata kalaki tu. Sijui nimelogwa na nani?
Usichezee bahati wewe. The teh teh
 
Yani ulitaka umt@mb( dada yetu bure? Mbona wakati unapewa mbunye hukuja kulalamika huku? Grow up and settle your issues privately...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…