Nimechoka kuombwa hela

Nimechoka kuombwa hela

Mleta Uzi, kajipime mkojo kisha ulete majibu yako kesho kabla ya saa 09:00am pale ofisi ya mkemia mkuu ili tuhakikishe kwa vipimo vyetu pia kama uko salama.

Hakika, viroba vya kijijini havikukuacha salama, ila ishukuriwe serikali kwa kuvikataza viroba visiuzwe.
 
Nimekuja Dar kikazi juzi, natakiwa kukaa Dar miezi mitatu, katika kupokelewa hiyo hiyo juzi mdada mmoja kanichangamkia sana ingawa kanizidi saaana cheo kwa hyo ofisi nilipofikia.

She has Phd, MBA, ACCA wale wa kada ya Uhasibu mnaelewa atakuwa mkuu wangu kiasi gani kwa serikalini kwa sifa hizo.

Shida alianza nishobokea sana siku hiyo hiyo na tukalambana maana baada ya ofisi alinipeleka rest house yeye mwenyewe na tulitumia condom.Mbaya zaidi tukaanza itana hun love e.t.c

Sasa kimbembe leo nimemchatisha kaniomba msaada wa ela nikamuambia nina kiasi fulani jibu kanijibu hilo hapo chini sijaelewa kabisa.

Wenyeji wa Dar nambieni huu ni mtego wa kikazi au she is desperate maana hajaolewa mpaka sasa hivi.
a54e15c78b719e4baf955c36b5b2c987.jpg
Wanaume kama nyinyi siwaonei huruma Na wanaume kama nyie ndiomnakufaga Na maradhi kama kuku umekuja siku hiyo hiyo kisa mwanamke kukuchekea kidogo ushafungua zipu yaani hapo nikuonyesha uwanaume wako kukataa umeona utajishushia vyeo vyakuitwa mwanaume Na hapo usikosee ulikotoka mpaka kuja hapa umemuacha mwanamke wako mpaka hapo ushamsaliti sasa ngoja ufundishwe adabu utachunwa mpaka senti yako yamwisho ushauri mblock kila kona usipokee simu yake mkwepe sana kama ukoma yaani kuwa bze Na kazi zako achana nae ukifanya mchezo utajialibia kazi


Ila ukome siku zote ukienda mahali ugenini piga hodi ndio maana kwetu tanga unaambiwa ukija vibaya waja Leo waondoka Leo
 
sasa ulitaka ugegede utunda wake bure.... we tuma tu pesa
 
Mkuu, kwanza natumia Tecno C5

Cha pili hyo ndo pesa nlokuwa nayo kwenye MPESA....2,000 kamili...nlificha coz nlijua mtanijudge sana tu..... Cha tatu mimi sio afisa sana kiasi kwamba nitishe watu, kwangu namiliki Sub-woofer na kitanda cha chuma na Flat screen ya Mr UK....ila huyo dada kanitisha sana, maana mimi sio level yake, nipo chini sana kwake, ndo kwanza nina miezi 5 kwenye ajira ya serikali...ila naamini nitajipanga zaidi baadaye niwe mjanja nipate mambo mazuri kifedha e.t.c....ila hilo la reaction ya huyo huyo Director of Operations limenitisha ndo maana nikaona nitegemee majibu yenu kama ni mtego au vipi.....

Sikatai, mimi ni mgeni Dar kabisaaa.....hata chuo nlichopatia Degree kipo mkoani tena vijijini kabisaaa

Hongera kwa kufika dar jiji la marahaaaa
 
Maranyingi hata ukienda ugenini kiasi gani shetani huwaga wa kwanza kumvaa mtu sasa wewe unaomba ushauri ama unatoa majibu ? Kaa mbali na huyo jini jiulize mpaka sasa hana mume na anacheo huwezi kuona anamatatizo makubwa sana mtu huyo na uwe na akili ukiwa kazini wewe unaanza maisha unajenga mausiano na anae malizia
 
Hao ndiyo kawaida yao mkuu,wapo kimaslah zaid,cha muhim ni kuwaepuka kabisa,tofauti na hapo utapigwa mizinga mpaka utaripuka,alafu hawajui kuomba kwa unyenyekevu yaan wanaomba kama walitunzia kwako au kwa lazima(sitaki kujua una shingap we tuma ela)
Yaan wanaomba kwa ku force. Like wanakudai vile. Nilikuwa na mmoja yuko hivyo nikampa kibut na uzur wake, alikuwa hana adab kabisa
 
Back
Top Bottom