supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 1,023
- 1,976
- Thread starter
- #41
Mkuu yule dem sikuwa nmempa hata mia....yeye mwenyewe kwanza anatembezwa na GX V8 nyeupe ya hatari sana.....ina STL plate number.......usifiche mkuu tunaona elfu hamsini zimekutoka hivyo tu.bao moja elfu hamsini dah!!
Ile siku ya kwanza tumekulana nlishiba vizur tu zaidi ya kushiba.....condom zilotumika za kutosha.....usikute hata kaolewaga mkuu, labda alivua pete tu.... Dar yenu bhana
