Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,460
Daah, kweeli "usije mjini" hata kana ana hold accacia degree Mkuu hapo sio kabisa, tafuta pakutokea itaku cost at last
We huwez kuwa ofisa unatumia tecno af unaombwa halafu unaombwa buku mbili na Phd holder sijui mwenye masters na Acca.Sidhani kama hata una idea ya mishahara ya chief accountants Phd holders wenye certification za Acca.
Hii ni chai tu,,,hamna mtu mwenye sifa hizo anaweza shoboka na mtumia tecno toka kijijini. Navyowajua wadada wa mjini kwa nyodo hasa wakiwa vitengo vikubwa full dharau kisha awe na njaa za buku 2?



Mkuu nakuona na ka tecno kako halafu unamwambia buku 2 itatosha sasa huyo hiyo phd yake aliichukulia kwa Bashite au?Nimekuja Dar kikazi juzi, natakiwa kukaa Dar miezi mitatu, katika kupokelewa hiyo hiyo juzi mdada mmoja kanichangamkia sana ingawa kanizidi saaana cheo kwa hyo ofisi nlipofikia,
She has Phd, MBA, ACCA....wale wa Kada ya Uhasibu mnaelewa atakuwa mkuu wangu kiasi gani kwa serikalini kwa sifa hizo.....
Shida alianza nishobokea sana siku hyo hyo na tukalambana maana baada ya ofisi alinipeleka rest house yeye mwenyewe na tulitumia condom.... Mbaya zaidi tukaanza itana hun....love...e.t.c
Sasa kimbembe leo nmemchatisha kaniomba msaada wa ela.....nikamuambia nina kiasi fulani.....jibu kanijibu hilo hapo chini.....sijaelewa kabisaaaaa......wenyeji wa Dar nambieni huu ni mtego wa kikazi au she is desperate maana hajaolewa mpaka sasa hivi![]()
Heshima yako mkuuNakusalimia
HehePosho yote inaisha!! Wanaume aliye waroga ashakufa! Poleni
Mkuu, kwanza natumia Tecno C5We huwez kuwa ofisa unatumia tecno af unaombwa halafu unaombwa buku mbili na Phd holder sijui mwenye masters na Acca.Sidhani kama hata una idea ya mishahara ya chief accountants Phd holders wenye certification za Acca.
Hii ni chai tu,,,hamna mtu mwenye sifa hizo anaweza shoboka na mtumia tecno toka kijijini. Navyowajua wadada wa mjini kwa nyodo hasa wakiwa vitengo vikubwa full dharau kisha awe na njaa za buku 2?



Thanx broDaah, kweeli "usije mjini" hata kana ana hold accacia degree Mkuu hapo sio kabisa, tafuta pakutokea itaku cost at last
Ilitokea tu.....Hahaha........ Yaani umekuja siku hyo hyo ukagegeda? Unafaa uwe mwandishi wa vutabu ww maana sio lwa uwongo huo
Mbna mm natumia Nokia tochi na nimeng"oa mzigo wa maana.We huwez kuwa ofisa unatumia tecno af unaombwa halafu unaombwa buku mbili na Phd holder sijui mwenye masters na Acca.Sidhani kama hata una idea ya mishahara ya chief accountants Phd holders wenye certification za Acca.
Hii ni chai tu,,,hamna mtu mwenye sifa hizo anaweza shoboka na mtumia tecno toka kijijini. Navyowajua wadada wa mjini kwa nyodo hasa wakiwa vitengo vikubwa full dharau kisha awe na njaa za buku 2?