Cataliyya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 781
- 378
Mbna mm natumia Nokia tochi na nimeng"oa mzigo wa maana.
Mzigo wa maana ki phd au wa maana kiutamu? dadavua
Mbna mm natumia Nokia tochi na nimeng"oa mzigo wa maana.
ungetumia neno baadhi ya wanaume ingekuwa poa si vyema kutumia kauli za ujumla, ndiyo maana hata yanayofanywa na akina amber lulu yanabaki kuwa yao na si ya wanawake wote.Posho yote inaisha!! Wanaume aliye waroga ashakufa! Poleni
Siyo wote, mimi bora nikuchangie damu siyo pesa yangu niliyotolea jasho, zaidi tutaitumia kwenye starehe siyo nikupe pesa ya pango!Aisee umeshauziwa ivyo mtumie tu
Duh! Humpi pesa ya pango unataka alale vichakani?Siyo wote, mimi bora nikuchangie damu siyo pesa yangu niliyotolea jasho, zaidi tutaitumia kwenye starehe siyo nikupe pesa ya pango!
Kazi ya baba yake hiyo, labda akahamie kwangu otherwise sifanyi upuuzi huo.Duh! Humpi pesa ya pango unataka alale vichakani?
Weeeee...usicheze na nguvu ya chiu!!Posho yote inaisha!! Wanaume aliye waroga ashakufa! Poleni
Inawezekana hana shida na hela yake.....ni mtihani tu kijana anapitiaWe huwez kuwa ofisa unatumia tecno af unaombwa halafu unaombwa buku mbili na Phd holder sijui mwenye masters na Acca.Sidhani kama hata una idea ya mishahara ya chief accountants Phd holders wenye certification za Acca.
Hii ni chai tu,,,hamna mtu mwenye sifa hizo anaweza shoboka na mtumia tecno toka kijijini. Navyowajua wadada wa mjini kwa nyodo hasa wakiwa vitengo vikubwa full dharau kisha awe na njaa za buku 2?
Nilikuwa napita tuHeshima yako mkuu
maneno uloficha yanasomeka hv uzuri nina 2000 sasa hiyo 2000 ya nn
Tehe😀Mm mbona nipo mpenzii