Nimechoka kuombwa hela

Nimechoka kuombwa hela

Kuna wanwake wanasikia raha kuhongwa hata 30 ukimpa anasikia raha siyo kuwa hana anayo ila hanataka kukuona moyo wako mpe wewe utapewa milioni siku unashida hesabu umeinywa pombe laki kitu gani??unalia wakati umemvua chippi
 
Hao ndiyo kawaida yao mkuu,wapo kimaslah zaid,cha muhim ni kuwaepuka kabisa,tofauti na hapo utapigwa mizinga mpaka utaripuka,alafu hawajui kuomba kwa unyenyekevu yaan wanaomba kama walitunzia kwako au kwa lazima(sitaki kujua una shingap we tuma ela)
 
Mtu mwenye sijui Phd,MBA,ACCA anatumiwa 2000/= sijajua kama ni dola za kimarekani au paundi.Anyway kumbe kuna PHD holders wanaogongwa siku hiyo hiyo tena na wakuja kama wewe???
 
Uyo dada ni mchaga au mkurya maana hyo command ni ya hali ya juu ningekua ww na mia mbovu cmp hajui kunyenyekea
 
We huwez kuwa ofisa unatumia tecno af unaombwa halafu unaombwa buku mbili na Phd holder sijui mwenye masters na Acca.Sidhani kama hata una idea ya mishahara ya chief accountants Phd holders wenye certification za Acca.
Hii ni chai tu,,,hamna mtu mwenye sifa hizo anaweza shoboka na mtumia tecno toka kijijini. Navyowajua wadada wa mjini kwa nyodo hasa wakiwa vitengo vikubwa full dharau kisha awe na njaa za buku 2?
 
Back
Top Bottom