Ngono Haitoi Pensheni, Hela Ndio Inatoa

Ngono Haitoi Pensheni, Hela Ndio Inatoa

Namshakende

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
844
Reaction score
2,184
Vijana tafuteni hela kwanza [emoji389]! Mnawekeza nguvu kubwaaa kwenye ngono kama vile ni biashara ya hisa [emoji849], wakati muda wa kuwekeza kwenye maisha yako ndio huu. Uzee unakuja fasta, halafu mnaanza kutia huruma za kingese [emoji57].

Unajifanya wewe ni mwamba wa kuhudumia wanawake kwa mshahara wako wa 350k [emoji23]… acha mara mmoja!

Utajiri mtauona na kusikia tu kwenye redio na TV [emoji343][emoji342]. Kenge nyie, akili iwakae sawa mapema.

Uzi tayari.
 
Wanakuja wahusika kukupa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom