Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,664
Umenikumbusha mbali sanaNiko huku sinoni ndani ndani arusha,
Karibu
Siku moja tulikuwa unaenda kazini usiku saa nne tulitokea Kijenge kwenda Sinoni kupitia Daraja ² sasa tulikuwa na LandCruiser mkonga tulipofika Daraja ² tukaona kila kijana anaingia mitini wanakimbia......
Kumbe na ile Land cruiser walifikri sisi ni askari polisi.....