Nimechoka kudanganywa.

Nimechoka kudanganywa.

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,139
Juzi mwalimu kaniambia 2+4=6, jana anadai 12/2=6. Mi nishike lipi jamani, nimechoka na huu uongo.
 
ahh! Kumbe mambo ya mahesabu? Mi nikishaonaga hesabu hata kuzisoma sitaki.
 
Back
Top Bottom