nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Bila shaka huyo mwanafunzi ni Mkenya.
Mtoto wa nyoka kuwa Kanyoka!!!? Ametisha.Huyu mtoto jiniazi sana. "mtoto wa nyoka ni KANYOKA"
Kipi kikusikitichasho?
Hiyo namba nane anamaanishaje
sawa kabisa. no 10 jibu ni waziri wa elimu wa KenyaBila shaka huyo mwanafunzi ni Mkenya.
Ukitafakari Kama mzalendo unayefanya harakati za ndoto ya kuja kuwa Na taifa kubwa ukanda wa afrika mashariki na Kati na afrika kiujumla, halafu warithi wa taifa ndio uwezo wao huo kitaaluma, kusikitika Ni lazimaKipi kikusikitichasho?