Jamaa analala yeye na mke wake na watoto wote chumba kimoja. Akamwambia mke wake wacha tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu... Mke Akakubali, sawa mume wangu, mke ukamchukua usingizi akalala.
Mume akaanza kuwasha na kuzima.
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima...
Na mke kalala...
Mmoja kati ya watoto akamwambia ndugu yake..
"Dogo mwamshe mama yako asije akatuunguza huyu -----...".
Mume akaanza kuwasha na kuzima.
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima..
Washa kuzima...
Na mke kalala...
Mmoja kati ya watoto akamwambia ndugu yake..
"Dogo mwamshe mama yako asije akatuunguza huyu -----...".